Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
hapo kwenye red not made in Tanzania, only in europe and USAKwa nini raia wa Canada wapeleke mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa wakati serikali yetu imenyamaza huko wakitetea the so called wawekezaji??? Aibu ya yote ni documents zinazoonyesha walivyomuonga, siyo tu Mwenyekiti wa kamati ya Bunge lakini pia Rais wa nchi... Ni aibu, wengi sana ndani ya CCM watachotwa pamoja na Wabunge wawili kutoka Upinzani
Ikiwa serikali yetu ni makini, inabidi waingilie kati, vinginevyo serikali nzima ya CCM italazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya Barrick. Hali siyo nzuri kabisa. Barrick inaenda kuiangusha serikali ya CCM
So says you. Huna ushahidi hata kiduchu? If the issue is such a big deal in Canada as you claim, and it involves the International Court of Justice, we should've heard about it somehow. All we've seen so far is two so-called human rights activists waving protest banners on some street in Canada.Kwa nini raia wa Canada wapeleke mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa wakati serikali yetu imenyamaza huko wakitetea the so called wawekezaji??? Aibu ya yote ni documents zinazoonyesha walivyomuonga, siyo tu Mwenyekiti wa kamati ya Bunge lakini pia Rais wa nchi... Ni aibu, wengi sana ndani ya CCM watachotwa pamoja na Wabunge wawili kutoka Upinzani
Ikiwa serikali yetu ni makini, inabidi waingilie kati, vinginevyo serikali nzima ya CCM italazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya Barrick. Hali siyo nzuri kabisa. Barrick inaenda kuiangusha serikali ya CCM
Kwanza lazima ujue kila kitu nini kinaendelea?au canada wamefanya nini??unataka vyote viwe open au sio???hapa ni JFna sio chombo cha udaku hiki, ni chombo cha kuaminika hata boss wako anaingia humu, so hii habari ni ya ukweli na subiria movie yote uone watu watakavyo bwabwaja,na mmeshaambiwa hii issue serikali iingilie kati sasa why atoe attention kama ni uongo???subiri movie nzima ndio utaelewa kama ni ukweli au uongo.....So says you. Huna ushahidi hata kiduchu? If the issue is such a big deal in Canada as you claim, and it involves the International Court of Justice, we should've heard about it somehow. All we've seen so far is two so-called human rights activists waving protest banners on some street in Canada.
Kwanza lazima ujue kila kitu nini kinaendelea?au canada wamefanya nini??unataka vyote viwe open au sio???hapa ni JFna sio chombo cha udaku hiki, ni chombo cha kuaminika hata boss wako anaingia humu, so hii habari ni ya ukweli na subiria movie yote uone watu watakavyo bwabwaja,na mmeshaambiwa hii issue serikali iingilie kati sasa why atoe attention kama ni uongo???subiri movie nzima ndio utaelewa kama ni ukweli au uongo.....

Kwani wanaoleta mashitaka Canada ni serikali? Ni taasisi binafsi....Kwa nini raia wa Canada wapeleke mashtaka ... wakati serikali yetu imenyamaza...Ikiwa serikali yetu ni makini, inabidi ... inaenda kuiangusha serikali ya CCM
Tujaribu kuwa na ubinadamu, hivi wangekufa watu wa damu zetu tungeongea upumbavu huu wa ligi ya kijinga!Movie watu wanaangalia kwenye DVD player au TV nyumbani. Tunachodai hapa ni ushahidi. Acha ushabiki usiokuwa na mantiki aloo.