secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,387
- 28,800
Habari yako Samiya.Huu ni ukweli kabisa zamani nilikua najinenea mara kwa mara kwamba nitakua rais wa Tanzania na kweli ikawa kama nilivyokua najinenea.... Kuna rafiki zangu walijinenea watakua marubani na kweli kwenye kundi letu walipatikana marubani 7😁😁
Jinenee utajiri mkuu utashangaa unampita hadi bakhresa
Mimi ni MagufuliHabari yako Samiya.
😀😁Unaongea ukiwa wapi.Mimi ni Magufuli
Hapa kwenye garden za mbingumbinguni😀😁Unaongea ukiwa wapi.
Ujachelewa mzee, mafanikio hayana umri. DHAMIRA + VITENDO.Poleni na Mapambano, wakuu
👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya
"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"
👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"
Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri 🤔⁉️
Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton
[/QUOTE]
[QUOTE="Bolotoba, post: 53574821, member: 751429"]
Poleni na Mapambano, wakuu
👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya
"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"
👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"
Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri 🤔⁉️
[USER=791651]Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal
na suruali zao rangi moja na mashati ya kupaukaMhm kila siku walokole wanasema wanapokea gari mbona bado wanapuyanga tu ?
Msalimie sana masogange, mwambie tunda lake lina utamu ambao sijapata kuuone tena tangu anichoropoke.Hapa kwenye garden za mbingumbinguni
Mno hawana kitu cha maana kina matunduizi post hilo gari lako chakuvu naposti langu na picha yangu🤔na suruali zao rangi moja na mashati ya kupauka
Hapana nadhani hapa umechanganyaKuna huwa wanasema usimtakie maneno hayo mabaya yasije kumpata
Bora umebaini hilo. Ni kweli, maneno ni VITU!Poleni na Mapambano, wakuu
👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya
"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"
👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"
Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri 🤔⁉️
Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal
Tumefungwa CCTV camera na vipasasauti kila mahali hata nikimnong'oneza Mungu atasanukaMsalimie sana masogange, mwambie tunda lake lina utamu ambao sijapata kuuone tena tangu anichoropoke.
Vipi ana chuchu sasitaNi kweli mkuu maneno huumba wakati najiita kijana masikini humu jamiiforums nili sota sana kupata mpenzi, ila tangu nijiite Tajiri sina BAYA nimepata bebe mkalii tena mpole na wengine nawakataa mwenyewe tu wakina Qashy Lilith
Sijui ila kwa mbaaali nahisi kama mshangazi hivii, ni yule avatar yake kaweka miguu miwili myeupe imevaa viatu vyeusi.Vipi ana chuchu sasita
Hivi huko mbususu zinasakatwa kweli?Tumefungwa CCTV camera na vipasasauti kila mahali hata nikimnong'oneza Mungu atasanuka