wanasema eti ndege za f35/22 za usa,hazionekani kwenye rada,mbona israel/usa wanasema russia kakosea sana kumpa syria s300,kwa nini?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,486
3,135
na tangu s300 ziingie syria,ndege za israel hazijaruka kabisa,wanasema hazionekani kwenye rada(stealth),si ziende kupiga syria kama kawaida,hazitaonekana na rada ya s300,au kuna tatizo jingine?..
 
na tangu s300 ziingie syria,ndege za israel hazijaruka kabisa,wanasema hazionekani kwenye rada(stealth),si ziende kupiga syria kama kawaida,hazitaonekana na rada ya s300,au kuna tatizo jingine?..
Na wewe ndio umenzisha uzi hapa!

Kweli tuna safari ndefu kufika nchi ya viwanda
 
Back
Top Bottom