Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Binti wa kinyakyusa hata kabla hujaanza kutia neno, ile unamsalimia: dada vipi? Huku umekaziwa jicho la taharuki Utasikia, 'fipi kifipi, we!'
easy!!!!!!!!!!!!!!!&&&&&&!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Fipi kifipi?mi ntamwambia fipi kifile file,alafu namshika mkono kumwongoza machinjioni!!!
Kabila letu ukiwa unapigwa tongozo ni marufuku kukunja uso, wala kushika majani, wala tusiangalie pembeni au chini. Tunaambiwa tumtazame mwanaume usoni, umkatae au umkubali huku ukiwa na tabasamu na sura ya furaha.
Dah!! Kama ni hivyo wanaume wengine wanaweza kushindwa kushusha mistari.Kabila letu ukiwa unapigwa tongozo ni marufuku kukunja uso, wala kushika majani, wala tusiangalie pembeni au chini. Tunaambiwa tumtazame mwanaume usoni, umkatae au umkubali huku ukiwa na tabasamu na sura ya furaha.
Fipi kifipi?mi ntamwambia fipi kifile file,alafu namshika mkono kumwongoza machinjioni!!!
Binti wa kinyakyusa hata kabla hujaanza kutia neno, ile unamsalimia: dada vipi? Huku umekaziwa jicho la taharuki Utasikia, 'fipi kifipi, we!'
true. Wale wanaotoka mbeya moja kwa moja ni waoga sana kutongozwa.daaaaaaah hiyo red imenitisha sana kama mgeni wa matongozo unaweza airisha tongozo zako...teh teh
No wonder toto moja la kinyakyusa nililotaka kuliimbisha lilikuwa lina hofu utadhani kasimama juu ya paa la nyumba. Hivi makabila mengine inakuwaje?
hahahahahahahaha! Uwiiiii RF umenvunja mbav zng! Hyo hofu inaletwa na nini? Hahahahaha!
wanatamani sana filifyomenywa ila wana hofu itakuwaje
He he heeeh!!No wonder toto moja la kinyakyusa nililotaka kuliimbisha lilikuwa lina hofu utadhani kasimama juu ya paa la nyumba. Hivi makabila mengine inakuwaje?