Wanaposema mjini msingi kiuno wanaamanisha nini?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,786
Reaction score
3,067
Wanaposema mjini msingi kiuno wanaamanisha nini?
Embu nielewesheni maana siwaeli hata kidogo.
 
Maana yake kiuno kwako ndio kitega uchumi..
Inawezekana lakini mbona wasiseme viyu vingine kama makalio makubwa, uume mkubwa, urembo au uhandsome? maana mimi najua vinawaweka watu mjini hivo vitu sio mjini tuu bali hata kijijini.
 
Makalio makubwa, sura nzuri au urembo si kila mmoja amejaliwa, but Kiuno kila mmoja anacho isipokuwa nyoka...
ni msemo tu umeibuka unaowakilisha wale wanaotegemea miili yao kuishi mjini..
Sasa ukikosea ni kwa nini uwe huo na sio huu utajichosha sana...

By the way, vipi majibu ya jana baada ya kubakwa juzi?
 
Mkuu bado nafsi yangu haijakaa sawa acha ni refresh huku maana baada ya kukuta hawana maambukizi ya ukimwi nimefurahi sana na hasira imepungua kidogo.
Sasa najiandaa kuwaadhibu we noja tuu.
 
Kwa Kiingereza tunasema "power of pussy"
 
Back
Top Bottom