Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
hapo sasa yapoje mafuta ya mgando ? mie najua maziwa ya mgando tu, hebu tafadhal nifahamishe mafuta hayo yakuje ?Nakula chakula cha kawaida tu ila ndo napaka mafuta ya mgando ya kawaida tu