Nimeungua sana nilivyokuwa mtoto kisa kujipikilisha
Huo mchezo sijaucheza nilikuwa kivyangu kujigonga vidole na mawe nikitengeneza magari na ujenzi wa nyumba.
Hahahaha ila mie nilikuwa najipikilisha balaaa.
Halafu unakuwa unajifanya mmama mara ufunge kilemba au khanga halafu kubwa
Nimeungua sana nilivyokuwa mtoto kisa kujipikilisha
Nimeungua sana nilivyokuwa mtoto kisa kujipikilisha
nakumbuka namna ulivyokuwa wajipikilisa ili mumeo wa kitoto nile...sitasahau yale maubwabwa uliyokuwa wapika!!!!
Aisaeee you mada my day !! maana hadi sasa kuna wengi bado wanaungua.. makovu mkono mzima !!
Yani ulikuwa unanitesa sana na ulivyokuwa mkali?Umenisababishia makovu tele halafu ukubwani umeenda kuoa mwingine.Yani mwanaume wewee......mhhhh????