Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

chuma16

Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
19
Reaction score
30
Nina samsung galaxy s4 lte-A nataka kuweka lollipop android version,ushauri jinsi ya kuweka.
 
Mkuu simu hii ina kitkat ambayo nikichek setting then about hamna sehemu ya software update
pengine ni simu ya marekani, kuna baadhi ya s4 za verizon niliwahi kuziona hazina option hio.
 
Mi yangu ni android 5.0 nataka kuinstall androir 6.0 marshamallow mwenye idea tafadhar
 
Ni korean s4 mkuu
mkuu hapo huna ujanja sababu wenzetu update zinatolewa na mitandao ya simu, inamaana huo mtandao hauwezi kukupa update ukiwa huku Tanzania.

option uliyonayo ni ku update manual
 
nina simu yangu ya vodafone inatatizo la kuwaka. unapoiwasha inawaka mpaka logo inatokea baada ya hapo inaonesha mduara tu wa kuload.nimefanya hard reset haikusaidia.
msaada wakuu tafadhali.
 
Wakuu, nimeinstall AVG antivirus katika tablet (android) yangu. Muda wa Trial unamalizika soon. Kuna ujanja wowote wa kupata codes kwa ajili ya kuactivate ili niendelee kufaidi hii service? Thanks
 
Wakuu, nimeinstall AVG antivirus katika tablet (android) yangu. Muda wa Trial unamalizika soon. Kuna ujanja wowote wa kupata codes kwa ajili ya kuactivate ili niendelee kufaidi hii service? Thanks
Kama umeroot hiyo tab ingia google then search lucky patcher... Huwa naitumia sana kucheat payment za app nyingi na even heavy android games... Ukichemka hiyo tumia "freedom apk" nayo ni good
 
Kama umeroot hiyo tab ingia google then search lucky patcher... Huwa naitumia sana kucheat payment za app nyingi na even heavy android games... Ukichemka hiyo tumia "freedom apk" nayo ni good
 
Back
Top Bottom