Wanaovaa nguo za nje kuzomewa

Wanaovaa nguo za nje kuzomewa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani.
 
watangazaji wa Clous hapa wanabashiri huenda kukawa na nembo ya nguo za nje na ndani ili kukubaini
 
Tunalinda viwanda vya ndani
 
Wakishindwa watuache tuchague wenyewe vya kuvaa, watu watupie vitu vyao bwana
 
Kama ndo hivyo, tunataka had I serikali kuu, hakuna kuvaa suti, washone nguo rasmi za kumtambulisha mtanzani kama akina Olesegun Obasanjo, ukimuona tu unajua huyu ni mnigeria
Huu mchakato ulifeli na pesa ndefu walipiga...
 
Back
Top Bottom