Wanaoulizia mishahara

Wanaoulizia mishahara

matunge88

Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
58
Reaction score
26
Wanaoulizia mishahara naamini ni wale walioko makazi so wanataka kulinganisha kabla hajatuma. Mtazamo wangu ni huo lakini sisi tuliomaliza mwaka huu unauliza mshahara hata kazi hujapata, pata kazi ukijadiliana mshahara ukiona haukutoshi piga chini.
 
Kuna watu ni wavivu wa kufikiri sana, kama unahitaji mshahara mkubwa waambie wazazi au ndugu zako wakuajiri! Au nenda corner bar au ambiasi ukapewe hela za kutosha na wanaume wa jiji!
 
Wanaulizia mishahara wakati kupata kazi penyewe ni kazi....
 
Ukimwona mtu anauliza mshahara anataka kuulinganisha na wa kwake wa sasa
 
Back
Top Bottom