Wanaotumia simu za iPhone 15% simu zao zimepasuka vioo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,430
iphone.png
 
Kuna jamaa yangu iphone yake imepasuka afu alikua anai-unblock kwa funguo. mpaka aibonyeee pale katikati
 
Aise wamejuaje...kweli bhana yangu imekula mzinga juzi tu kichwa kinauma.

Yani ingekuwa imelia mzinga sehemu nzur walahi tena nisingebadilisha kioo kbisa
Pole yako dada...na hizo simu zilivyo za gharama daah
 
Back
Top Bottom