Wanaotamani kutumia Instagram kibiashara

Picha zote ni account moja on same phone but different app

Ok sawa nimekuelewa kuwa applications ndio zina effect tofaut ktk hilo swala, kama hutojali ningeomba unitajie hiyo app yenye kusoma kwa mtindo wa k. Asante
 
Kama Nina account yangu tayari utaniongezea na followers wangu? Na jina nitaendelea kutumia lile lile? liljustine21 halafu naombeni mnifundishe jinsi ya kurepost
 
Last edited by a moderator:
Ok sawa nimekuelewa kuwa applications ndio zina effect tofaut ktk hilo swala, kama hutojali ningeomba unitajie hiyo app yenye kusoma kwa mtindo wa k. Asante

Yes app na pia devices sometimes zina effect. Hapo mi natumia official instagram ndo imeleta K ila kwa wengine mpaka wakifikia 10,000 ndo wanaona 10K
 
Kama Nina account yangu tayari utaniongezea na followers wangu? Na jina nitaendelea kutumia lile lile? liljustine21 halafu naombeni mnifundishe jinsi ya kurepost

Nakuja box /PM
 
Last edited by a moderator:

Njoo inbox boss kazi
 
Ipo yenye zaidi ya 5000followers? Kama ipo shilingi ngapi?
 
Attachments

  • 1433582492986.jpg
    38.4 KB · Views: 61
ni chk hp mkuu kwa biashar kwa ac itakay kuwa tiyar siku zijaz tafadhl 0686999865
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…