mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Unauzaje?
Dude thanks for me being among of em, Mungu abariki kazi ya mikono na akili yako 🙏🙏
This is ur work, kupitia kazi yako nimeweza kujitangaza zaidi na kupata wateja zaidi
Nd we leave b depending on each other so tusibeze na kukejeli kama ilivyokuwa kwa post yake ya kwanza
Thanks again illujustine
Tunakupataje?
Hongera kijana, Mungu akujalie upate wateja
Safi sana ubunifu mzuri
Izi account mbili zipo sokon chagua unayotaka kuna heavyweight na mediumweight
Brother hivi 1k inasimama badala ya elfu ngapi?
1K ni elfu moja
Ohhhh, Samahani sasa mbona kuna account zinaandika 1000 Au hyo 1k
Ohhhh, Samahani sasa mbona kuna account zinaandika 1000 Au hyo 1k