Sita ndo anatakiwa kuilipa dowans, reasons: yeye ndiye aliyeipokea Richmond wakati akiwa boss wa TIC, yeye ndiye aliyeendesha mjadala wa kufuta mkataba wa dowans kinafiki, yeye alitamka waziwazi kuwa Dowans ilikuwa ya wahuni watatu so haikupaswa kulipwa baada ya dowans kushinda katika mashauriano mbele ya icc . Tusimuonee aibu huyu mzee mnafiki, amekoroga wenzie wanywe badala yake watanzania wanaumia.