wanaotakiwa kuilipa dowans

Wanaotakiwa kuilipa Dowans ni wale walioishauri Tanesco vibaya kisheria pamoja na wanasiasa walioeneza uongo. Inawezekana hata Kiranja mkuu na wasaizidizi wake. Baada ya kitambo kidogo ukweli utajulikana tu lakini sasa Watanzania tutakuwa tumeshaumia sana na haitakuwa na uzito sana lakini tujipe moyo maana waswahili walisema majuto ni mjukuu.
 
Sita ndo anatakiwa kuilipa dowans, reasons: yeye ndiye aliyeipokea Richmond wakati akiwa boss wa TIC, yeye ndiye aliyeendesha mjadala wa kufuta mkataba wa dowans kinafiki, yeye alitamka waziwazi kuwa Dowans ilikuwa ya wahuni watatu so haikupaswa kulipwa baada ya dowans kushinda katika mashauriano mbele ya icc . Tusimuonee aibu huyu mzee mnafiki, amekoroga wenzie wanywe badala yake watanzania wanaumia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom