Sio vibaya ila inaonyesha wazi kuwa vile vyama vinavyotaka kuiondoa CCM ,vimekwaa kisiki tena cha mti mkavu.
Natumai mnajua ni jinsi gani jamaa wanaelekea kumalizika baada ya kukwaa kisiki hicho !
ww mzm kwel?Sio vibaya ila inaonyesha wazi kuwa vile vyama vinavyotaka kuiondoa CCM ,vimekwaa kisiki tena cha mti mkavu.
Natumai mnajua ni jinsi gani jamaa wanaelekea kumalizika baada ya kukwaa kisiki hicho !
ww mzm kwel?
kipi hicho, mna rahaaaa kweli ssssssm rushwa ni takrima,,katiba mpya mali ya ssssssm,fisadi anaambiwa arudishe hela ya umma atasamehewa,epa mjadala unafungwa.,,, escrow account sssm ni madafu;;mnavyojua kuchakachua ;;;; kweli ssssssm ni mti mkati kwelikweli

Alidanganywa daniel moi hivyohivyo...sillyTena wa afya njema ,kwani uwongo ? Ukikwaa kisiki huwaga unaking'oaga ? Au unashughulikaga na maumivu na kwenda zako huku ukiomba madua ya kuku na kulaani !!
CCM wanaendelea ,watatafuta mbinu mbadala za kupitisha katiba ,usijidanganye kuwa Katiba itakwama kwenye kura za wananchi ,jiulize hivi anaetangaza matokeo ni nani ? Ni serikali ya CCM au unategemea tume huru ? CCM ina matatizo lakini matatizo yao hayatokei katika kukoseshana ushindi.
Haya kuna hii hatua ya mwisho ya kuandamana nani anatoa vibali vya kuandamana ? Nani anasambaratisha maandamano ? Je wananchi wamejiandaa au mmewaanda kiasi gani kuweza kupambana na polisi wa CCM ?
Je kuna hiztoria yeyote inayoonyesha ushindi ulipatika au matakwa yalisikilizwa kwa maandamano hapaa Tz? Ndio nikasema kisiki kimekwaliwa ,lazima kucha zitoke !
ww mzm kwel?
Waryoba+ukawa+wanaharakati =0
huo ndio ukweli, japo inaonekana mgonjwa akiwa ICU the only thing ni kumpa moyo, hata pale moyo unaposhindwa kufanya kazi.
Acha nyimbo za CHDEMA hizo , rudi kwenye mjadala sasa, unaonaje UKAWA wana chao tena?
Sio vibaya ila inaonyesha wazi kuwa vile vyama vinavyotaka kuiondoa CCM ,vimekwaa kisiki tena cha mti mkavu.
Natumai mnajua ni jinsi gani jamaa wanaelekea kumalizika baada ya kukwaa kisiki hicho !
huo ndio ukweli, japo inaonekana mgonjwa akiwa ICU the only thing ni kumpa moyo, hata pale moyo unaposhindwa kufanya kazi.
Kuna ufisadi kuzidi anafanya Mbowe chama chote ni mali yake ruzuku ya chama yote anachukua yeye wanawake wa viti maalumu anawapeleka anakotaka kwa fedha ya serikali hapo hajaukwaa huo urais
Mimi nilijua tu UKAWA wanatapatapa
CCM itaendelea kuwa madarakani kwa sababu tuu ya udhaifu wa vyama vya upinzani.
Discuss topic iliyopo usinidiscuss mimi wewe punguani.Ndiyo mwisho wako wa kufikiri?