Wanaotaka kufaulu kazi kwenu

Wanaotaka kufaulu kazi kwenu

the new dude

Member
Joined
Apr 6, 2009
Posts
14
Reaction score
5
Kwa wale wanaopenda kufaulu bila kuumiza kichwa..

attachment.php
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375723831428.jpg
    uploadfromtaptalk1375723831428.jpg
    78.1 KB · Views: 776
watu wanaflow na demand........siwawezi.......
 
...wajinga ndio waliwao...
 
Sasa tupindue kichwa kusoma hilo tangazo
 
Hilo bango lina maana aliyelala usimwamshe utalala wewe. Akili kichwani.....
 
Hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa viongozi wa nchi hii. Kwa nini matangazo ya kitapeli ulio wazi kabisa yanabandikwa tu hovyo hovyo na hakuna mtu anajali? Kweli hata hili linahitaji mtu awe na shahada ya chuo kikuu kulielewa? Kweli tumekwisha!!
 
Aisee na watu wanaenda kila siku kwi kwi kwi kwi kwi waganga wanafanya marketing kama makanisa ya kina mzee wa upako
 
Mi nilionaga tangazo la kujiunga na freemason, nikabaki nimeachama/
 
Kweli wajinga ndio waliwao , lakini Sheria inaruhusu watu kuibiwa kimacho macho ? au ndio mpago wa kuwapatia watu ajira ?
 
Back
Top Bottom