Miaka ya 1990' kulikuwa na GAS (Geological Association of Students) pale Mlimani, sijui kama bado ipo au "mmeiua". Lakini kuna "association" ya ma-geologists iitwayo TGS (Tanzania Geological Society) ambayo iko kwenye mikakati ya kuhakikisha kila mdau wa sekta hiyo anatambuliwa nayo na ndiyo itakayokuwa inaratibu maswala ya ajira kwa wadau wake.
Swala la 3yrs experience lisikutie hofu, mwajiri anayeweka vigezo hivyo atakosa watu maana kimsingi hakuna ma-geo walio "loose" sokoni. Ikitokea post wewe apply tu utapata.
Naomba kuuliza hivi kwa my ambaye ni geology technician kwenye written interview ni maswal gan hutokeza Sana ni kaz za wizaraMiaka ya 1990' kulikuwa na GAS (Geological Association of Students) pale Mlimani, sijui kama bado ipo au "mmeiua". Lakini kuna "association" ya ma-geologists iitwayo TGS (Tanzania Geological Society) ambayo iko kwenye mikakati ya kuhakikisha kila mdau wa sekta hiyo anatambuliwa nayo na ndiyo itakayokuwa inaratibu maswala ya ajira kwa wadau wake.
Swala la 3yrs experience lisikutie hofu, mwajiri anayeweka vigezo hivyo atakosa watu maana kimsingi hakuna ma-geo walio "loose" sokoni. Ikitokea post wewe apply tu utapata.