You never know Mkuu. Unaweza kuta wakati analawitiwa polisi wakapita kwa bahati mbaya au wakaitwa na wale wanaopinga adhabu ya kulawitiwa. Lakini point yangu iko hasa kwa anayelawiti ajue kuwa akikutwa anafanya hicho kitendo adhabu iliyo mbele yake ni miaka 30 jela halafu arudi kama atamkuta mkewe.
...lol, hivi ukishafumaniwa na mke wa mtu kisha ukalawitiwa, utapata nguvu ya kwenda shitaki?
hapana bana,...mungu atunusuru tu, najua nitachomfanyia huyo 'mume'
Haukumalizia mkuu: 'Akamuoneshe mke wake" :lol:
On a serious note: hii ni kweli kua mwanaume anapewa adhabu hiyo mtaani?
You never know Mkuu. Unaweza kuta wakati analawitiwa polisi wakapita kwa bahati mbaya au wakaitwa na wale wanaopinga adhabu ya kulawitiwa. Lakini point yangu iko hasa kwa anayelawiti ajue kuwa akikutwa anafanya hicho kitendo adhabu iliyo mbele yake ni miaka 30 jela halafu arudi kama atamkuta mkewe.
"Akamwonyeshe mkewe" nimeicha kwa sababu kweli mkewe atakuwa anamsubiria kwa miaka yote 30? Kama kweli mwanaume anapewa adhabu hiyo mitaani, The Boss atajibu kama bado. lol
Amejibu, anasema it is very common, mume anakutumia watu kwa kuwalipa. wengine wako so much in to the 'punishment business', wanaweza kwenda hata bila kulipiwa!)"Akamwonyeshe mkewe" nimeicha kwa sababu kweli mkewe atakuwa anamsubiria kwa miaka yote 30? Kama kweli mwanaume anapewa adhabu hiyo mitaani, The Boss atajibu kama bado. lol
Nothing suggests that they were rapped. Binafsi naona hata kuweka hizo picha publicly sio sawa (personal opinion)
EMT mbona mpaka picha za matukio zimeletwa humu jf?
watu wakiadhibiwa baada ya kufumaniwa???
Amejibu, anasema it is very common, mume anakutumia watu kwa kuwalipa. wengine wako so much in to the 'punishment business', wanaweza kwenda hata bila kulipiwa!
"Akamwonyeshe mkewe" nimeicha kwa sababu kweli mkewe atakuwa anamsubiria kwa miaka yote 30? lol
Nadhani kwa sababu kulawitiwa na fedheha sana sana, na ushoga unapingwa sana huku kwetu, mtu anayelawitiwa kwa kashfa hiyo ya kutoka na mke wa mtu hawezi kuwa na ujasiri wa kushtaki polisi. So kesi inaishia mtaani tofauti na angepigwa, kuharibiwa mali ama kuuliwa.
Na hii sio suluhisho. Naijua couple malaya sana, lakini mwanamke akimkuta mumewe anazusha mtiti na small house, ila mwanaume akimkuta mkewe anaenda kumshughulikia nyumbani. Hao ndoano yao walau haina huu ufirauni.
Boss unauhakika na unachosema??
Haiwezekani kabisa wewe kuanza kumshambuli mwanaume mwenzako kwa maneno makali ukijua anachukua ngoma yako??? :rant:
Lol! Unaweza ukamshambulia akakushushia udhaifu wako A to Z! Bora ukagombane na mkeo chumbani kwenu tena! Kama yanarekebishika mtajulia humo humo!
mostly uswazi...huu ushenzi ndo saana
ukiishi uswazi usiguse wake za watu lol
Mkuu, nimekumbuka ile discussion ya "sudden and temporary loss of self-control". Hapa sasa unaona mwanamke huyo wa Mombasa aliact pale pale, bila kupoteza muda. Ila wanaume wanachukua time na kupanga revenge. Now remember what the 'feminists' argue na ulinganishe hapo... 🙂Wakiadhibiwa kwa kulawitiwa live? Sijawahiona picha ya aina hiyo. Nimeona picha mpaka video clips kibao za watu wakifumaniwa lakini sio wakipewa hiyo adhabu.
Haka kama mume akimtuma mtu mwingine akalawiti bado atakuwa ametenda kosa la jina as accessory of the crime committed na huyo mlawiti. But ukweli hiyo adhabu ya kulawitiwa ni solution ya juu juu tuu na sidhani kama huwa inamtatulia huyo mume tatizo husika.
Vipi kama mwanamke akiamua ku cheat na wanaume wengi bado huyo mume wake atakuwa anatuma watu wakawalawiti wote? Naona watani zetu wame-advance kidogo
Ndio na mimi nilikua nasema. Kwa hasira anaweza akalipiza kisasi kwa mkeo, wanao au hata wazazi!Vipi aliyelawitiwa nae akaamua kutuma watu wake wamlawiti huyo mume? Mume atafanya nini akishalawitiwa? Naona haya mambo yataelekea huko.
mostly uswazi...huu ushenzi ndo saana
ukiishi uswazi usiguse wake za watu lol
m
msihukumu maana nanyi mtahukumiwa kwa kiwango kilekile.....imeandikwa
Mkuu, nimekumbuka ile discussion ya "sudden and temporary loss of self-control". Hapa sasa unaona mwanamke huyo wa Mombasa aliact pale pale, bila kupoteza muda. Ila wanaume wanachukua time na kupanga revenge. Now remember what the 'feminists' argue na ulinganishe hapo... 🙂
Ndio na mimi nilikua nasema. Kwa hasira anaweza akalipiza kisasi kwa mkeo, wanao au hata wazazi!
ok, thank you for the info. But this would have been a good example ingekua wahusika waliteketea katika moto na tunge assume mume anatuma majambazi kuua and not just kulawiti."Sudden and temporary loss of self-control" na provocation zina apply kwenye kesi za murder tuu, not otherwise.
Out of topic kidogo:Wengi huwa hawaangalii repercussion ya actions zaidi. Wanadhani wanamkomoa kumbe wanajikomoa wenyewe kiaina.