Wakati mwengine ukiangalia hili taifa kwa mtazamo Furani, Unaweza kusema labda ni TAIFA la wendazimu niliambiwa "tafuta hela utakuja kunishukuru" kwenye mada hata isiyohusiana kabisa na mapenzi wala hela yenyewe.
Sema pesa na mapenzi vitu viwili tofauti ila watu wengi wanafail kutofautisha ndo mana wengi wanaumizwa kwa kutumia pesaaa kama kinga katika mahusiano!