Wanaorudi CCM watuambie, kura walimpigia Magufuli?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Sijafurahishwa Na chama cha mapinduzi CCM kuwapokea walioihama CCM Na kuhamia vyama vingine.Nilitegemea tungewauliza kama walimpigia kura Mh.magufuli licha ya kuhama.Kuishia kuwapokea tu haikuwa sahihi kwani walitukimbia.Kilicho nifurahisha no neno alilolisema Mwenyekiti kuwa ng'ombe aliyekatika mkia atajulikana tu katika kundi la ng'ombe.
 
Wachambuzi wa hotuba za viongozi watujuze how best ile hotuba ya Mwenyekiti wa bodi ya Paroli Mh.Mrema ilivyokuwa.
 
Oil chafu imeshajichuja sasa imekuwa supa. Hongereni ccm naona nape yuko kimya sasa. Ni vizuri tunapobwabwaja tuwe tuna acha akiba ya maneno, badala ya kujilipua kama ccm walivyofanya.
 
Back
Top Bottom