holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Quran haiwez kutumika kam reference ya uhakikaWanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo hakuna andiko wala muujiza utakao wafanya waamini, sembuse hizi hoja ambazo huwa wanarumbana na watu Kila kukicha.
Na hivi ndivyo walivyo tangu enzi na enzi, hoja zao ni zilezile, na hata katika Quran, imeelezwa jinsi hawa watu walivyowakaidi.
Walipoonyeshwa miujiza waliita uchawi, maneno ya mwenyezimungu waliyaita hadhithi za kutunga, mitume waliwaita wachawi, machizi n.k.
(rejea; Quran 6:7,10:2,15:6, 46:17, 44:14, 40:56...)
Na katika kudhihirisha zaidi ukaidi wao, walifikia hadi kusema kumwambia mwenyezimungu, eti kama kweli hii (yaani yale aliyokujanayo mtume) ni haki kutoka kwako basi tuteremshie mawe kutoka mbinguni, au ututeremshie adhabu yenye kuumiza.(rejea; Quran 8:32)
Hii inaonyesha ni kiasi gani hawa watu ni wakaidi maana wangetaka kujua, wangeomba kuongozwa ila kwakuwa ni wakaidi wakaomba kuangamizwa.
Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.
Sasa kama dalili alizoziweka mungu mwenyewe kuthibitisha uwepo wake hazijakukinaisha kuamini, unadhani hoja gani itakayokukinaisha.
Muktadha wa kupinga kwao ni kwamba mungu hayupo, hivyo hoja za kuthibitisha uwepo wake zote ni batili, lakini hata kama mungu yupo na hizi ndizo dalili alizoziweka kuthibitisha uwepo wake, basi ndio tayari wameshazipinga, maana hawakubalianinazo, hivyo ni wapingaji.
Kwahiyo tatizo sio ubora wa dawa ya sikio katika kutibu, bali tatizo ni kuwa hili ni sikio la kufa, hivyo halisikii dawa.
Nakwambia hivi, hata kama mimi sipo.Hii ndio maana ya ukaidi, kwa sababu kupinga hakulazimu kutokuwepo, mtu anaweza kupinga hata kitu ambacho kipo.
Ndio maana sitaki kubishana na wewe.
Ngoja nikusaidie kuelewa mada yangu.
Kwa kusema hivi:-
Siamini kama wewe upo.
Na huwezi kuthibitisha kama wewe upo.
Kwa sababu haupo.
Sasa wewe endelea kuhangaika kunithibitishia uwepo wako, maana nakuhakikishia, hata uje nyumbani kwangu nikuone bado nitaendela kupinga tu.
Kwani nimesema kuwa huu ndio uthibitisho kuwa mungu yupo?Nakwambia hivi, hata kama mimi sipo.
Bado hujathibitisha Mungu yupo.
Na huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kumbe reference ya uhakika ni ipi?Quran haiwez kutumika kam reference ya uhakika
mfano mungu wenu naona alijichanganya au alisahau jinsi alivyoiumba dunia
20:53 - tunaambiwa dunia iko kama carpet
79:30- tunaambiwa dunia Ina umbo la yai la mbuni
Inakuaje muumbaji wa dunia anashindwa kutambua umbo sahihi anajichanganya namna hii
Msingi wa Imani ni kutojua jambo kiundani. Nadharia za imani zimejaa uongo.Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo hakuna andiko wala muujiza utakao wafanya waamini, sembuse hizi hoja ambazo huwa wanarumbana na watu Kila kukicha.
Na hivi ndivyo walivyo tangu enzi na enzi, hoja zao ni zilezile, na hata katika Quran, imeelezwa jinsi hawa watu walivyowakaidi.
Walipoonyeshwa miujiza waliita uchawi, maneno ya mwenyezimungu waliyaita hadhithi za kutunga, mitume waliwaita wachawi, machizi n.k.
(rejea; Quran 6:7,10:2,15:6, 46:17, 44:14, 40:56...)
Na katika kudhihirisha zaidi ukaidi wao, walifikia hadi kusema kumwambia mwenyezimungu, eti kama kweli hii (yaani yale aliyokujanayo mtume) ni haki kutoka kwako basi tuteremshie mawe kutoka mbinguni, au ututeremshie adhabu yenye kuumiza.(rejea; Quran 8:32)
Hii inaonyesha ni kiasi gani hawa watu ni wakaidi maana wangetaka kujua, wangeomba kuongozwa ila kwakuwa ni wakaidi wakaomba kuangamizwa.
Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.
Sasa kama dalili alizoziweka mungu mwenyewe kuthibitisha uwepo wake hazijakukinaisha kuamini, unadhani hoja gani itakayokukinaisha.
Muktadha wa kupinga kwao ni kwamba mungu hayupo, hivyo hoja za kuthibitisha uwepo wake zote ni batili, lakini hata kama mungu yupo na hizi ndizo dalili alizoziweka kuthibitisha uwepo wake, basi ndio tayari wameshazipinga, maana hawakubalianinazo, hivyo ni wapingaji.
Kwahiyo tatizo sio ubora wa dawa ya sikio katika kutibu, bali tatizo ni kuwa hili ni sikio la kufa, hivyo halisikii dawa.
Una maana gani kwa supernatural power? Ni nn hyo?Tunapinga uwepo wa Mungu kwa nadharia za vtabu vya dini , Ila kwa uhalisia wa uwepo wa supernatural power iliyofanya creation hatupingi kabsa , Natharia ya uwepo wa Mungu iliyopo kwenye vtabu vya dini inapotosha ukweli , kwasababu inamwelezea Mungu kuwa hashindwi chochte ili ndani kabsa ime mlimit kwenye baadhi ya mambo , mfano wa uwepo wa Mungu mbinguni akiwa na makerubi na wazee 24 ,hauoni umepunguza nguvu ya Mungu na kumlimiti kwenye sehemu moja tu anayoweza kuooperate kutokea apo? Pili Mungu anaweza kukasirishwa au kufurahishwa na binadamu , hauoni binadamu kuwa anaweza kucontrol hisia za Mungu !? Ila kwa tunaoishi ukweli wa kuwa kunasupernatural power inayo operates hii universe na universe nyingne hauoni tupo sahihi because energy can not be created no destroyed? Usione watu hawaamini vitabu vya dini hivhiv tu tunasababu za msingi tu ata huyo Mungu wa kwenye vitabu tunaweza tukamhoji kwanini maneno yako yanapinga baadhi ya tabia zako
Ifike muda twende mbele zaidi ya kuamini tu... tueleweshane. Kama kitu hakina mantiki hakina maana, na kwa msingi hakina msaada kwa watu zaidi ya kuongeza uharibifu wa rasilimali kama muda, pesa, mawazo n.k. ambazo pasipokuwa na hivi vitu visivyokuwa na msingi mali hizo zingetumika kuboresha hali za watu.Hujafanya chochote mkuu kwakuwa bado umenukuu Quran ambayo hao wapinga mungu kwa hoja za kimantiki hawaiamini.
Huwezi kuwaaminisha kwa kwenda kunukuu biblia au quran.
Kwann wasikaidi kama hoja haina mashiko? Itakuwa ni uzembe wa kutumia ufahamu kuona kitu hakiko sawa na kukipokea hvyo hvyo. Pengne hata unafiki, ujifanye una imani wakati kiundani huielewi na kuwa na hoja za kuitetea ipasavyo.Na hii ndio maana ya ukaidi.
Wanaipinga Quran kwa sababu wanasema haijatoka kwa mungu, lakini hata kama inatoka kwa mungu ndio tayari wameshaipinga.
Umeambiwa huwezi kuthibitisha kwa sababu HayupoKwani nimesema kuwa huu ndio uthibitisho kuwa mungu yupo?
Ninachosema ni kuwa wewe unapinga uwepo wa mungu.
Kwani na wewe kusema hayupo ndio hayupo?
Ni kama mimi tu ninavyosema wewe haupo.
Sawa sawa... nadhani mzigo wa ushahidi huwa upande wa wanaodai uwepo wa kitu.Thibitisha Mungu yupo, na kwamba hizo habari za kuwepo kwa Mungu si hadithi za kusadikika zilizotungwa na watu tu.
Twende pointi moja bada ya nyingine katika uthibitisho wako.
Mtu anaweza kupinga uwepo wa kitu ambacho kipo.Kwann wasikaidi kama hoja haina mashiko? Itakuwa ni uzembe wa kutumia ufahamu kuona kitu hakiko sawa na kukipokea hvyo hvyo. Pengne hata unafiki, ujifanye una imani wakati kiundani huielewi na kuwa na hoja za kuitetea ipasavyo.
Kusema hayupo hakufanyi asiwepo.Kwani nimesema kuwa huu ndio uthibitisho kuwa mungu yupo?
Ninachosema ni kuwa wewe unapinga uwepo wa mungu.
Kwani na wewe kusema hayupo ndio hayupo?
Ni kama mimi tu ninavyosema wewe haupo.
Kwanza kabisa, dhana ya kuwapo Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote, inajipinga yenyewe kabla mtu yeyote hajaipinga.Mtu anaweza kupinga uwepo wa kitu ambacho kipo.
Kwa ujinga, ukaidi, ubishi, kiburi kuipumbaza akili yake n.k, na haya ndio yanampelekea kujenga hoja juu ya hilo.
Eti mtu anakwambia, katika plane Euclidean geometry:Kwann wasikaidi kama hoja haina mashiko? Itakuwa ni uzembe wa kutumia ufahamu kuona kitu hakiko sawa na kukipokea hvyo hvyo. Pengne hata unafiki, ujifanye una imani wakati kiundani huielewi na kuwa na hoja za kuitetea ipasavyo.
Huwezi kusema watu wanaohoji ni wajinga... utakuwa una mtanzo kinyume na uhalisia wa mambo!Mtu anaweza kupinga uwepo wa kitu ambacho kipo.
Kwa ujinga, ukaidi, ubishi, kiburi kuipumbaza akili yake n.k, na haya ndio yanampelekea kujenga hoja juu ya hilo.
Wewe unaelewa hilo ndio maana unapinga uwepo wa mungu.Kwanza kabisa, dhana ya kuwapo Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote, inajipinga yenyewe kabla mtu yeyote hajaipinga.
Wengine wanaonesha tu dhana inavyojipinga yenyewe.
Unaelewa hilo?