Wanaopinga Ushoga Ni wanafiki?

Wanaopinga Ushoga Ni wanafiki?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,265
Reaction score
4,451
Hili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?

Kuna wanaopiga vita ushoga ilhali hawajawahi kuwaona mashoga,kuna ambao wamewahi kuwaona na kuzungumza nao na wanaelewa msingi wa hoja.

Kwa nilichokionawanaopiga vita ushoga kwa ndani wanaunga mkono hii tabia ila hawana ujasiri wa kuitetea mbele ya jamii.ni ndumila kuwili ambao mchana wanapinga na usiku wanaunga mkono.

Sioni sababu ya kuwanyanyasa ndugu zetu hawa huku tukijua kuwa tunafanya unafiki wa wazi

Je Tuwaelewe kabla ya kuwahukumu?

#stophomophobia #noprostitution
 
Tuwaelewa kabla ya kuwahukumu.

#stophomophobia #noprostitution
Yani mtu kama wewe sijui nikutukane tusi la kikabila gani,lakini pokea matusi ya lugha zote za Africa
 
Hili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?

Kuna wanaopiga vita ushoga ilhali hawajawahi kuwaona mashoga,kuna ambao wamewahi kuwaona na kuzungumza nao na wanaelewa msingi wa hoja.

Kwa nilichokionawanaopiga vita ushoga kwa ndani wanaunga mkono hii tabia ila hawana ujasiri wa kuitetea mbele ya jamii.ni ndumila kuwili ambao mchana wanapinga na usiku wanaunga mkono.

Sioni sababu ya kuwanyanyasa ndugu zetu hawa huku tukijua kuwa tunafanya unafiki wa wazi

Je Tuwaelewe kabla ya kuwahukumu?

#stophomophobia #noprostitution
tapatalk_1540550484501.jpeg
 
nimemwelewa mtoa Mada. Pamoja na kukasirishwa na hii tabia tusiache kujifikirisha. usiombe mtoto wako azaliwe shoga(with females hormones driving him toward homosexual) hapo ndipo utamwelewa mtoa mada
 
Mwehu hujitambui.
 
Pumbavu. Sodoma na Gomora bado hamjajifunza. JF inapotea taratibu.
Kosa lao kubwa la watu wa Sodoma na Gomora ni kuwazingira malaika na kutaka kuwafanyia huo mchezo wakijua kuwa wale ni wanawali. Kitendo kile kiliwaudhi wao kwanza na kuwapofusha macho wote muda ule ule wote waliokua wamewazingira.

Huo mchezo mchafu kwao ulikua umegeuka kuwa ni kama ibada . Hakuna dhambi ndogo.
Kuuana ,uongo ,dhulma,woga, na kupenda madaraka sana ni dhambi kubwa na hua Mungu anatoa adhabu japo Mungu haleti Moto badala yake anawachilia Roho ya vita munauana sana mpaka mfikie Toba. Angalia Kongo,Sudan, Somalia, Libya, Iraq, Burundi ,Rwanda n.k.Kwa hiyo kama Taifa tusijidanganye kuwa eti Ushoga ndiyo dhambi kubwa kuliko zote lahasha . Ni kwa sababu tu Mungu anaingilia kati dhambi hiyo inapofanyika na kuleta majanga kama adhabu kwa dhambi hiyo mana ni dhambi ya makubaliano haina visasi kati ya binadamu na binadamu kama malipizi. Kwa maana kwamba Mungu asipoingilia itaenea sana na kuharibu uumbaji wa asili wa Mungu na agizo lake la mwaname kuoa mwanamke.
 
unafki mtupu ....kila mtu atahukumiwa kivyake kwanini umhukumu mwenzako mnasema ushoga haujarusiwa kwenye bibilia au dini ya aina yeyote je nyie hamfanyi dhambi ...mimi sipendi ushoga ila kwanini nimchukie binadamu mwenzangu kisa maamuzi yake sina mda wa chuki aisee .....afterall ni sheria tu ndo bado ila mtaaani wamejaaa kama nini the more tunavyoliongelea ndo tunalichochea kila mtu akae na mwanae amweleshe sababu kwanzia mashuleni wapo ....mda unaenda things change
 
nimemwelewa mtoa Mada. Pamoja na kukasirishwa na hii tabia tusiache kujifikirisha. usiombe mtoto wako azaliwe shoga(with females hormones driving him toward homosexual) hapo ndipo utamwelewa mtoa mada
Hakuna kitu kizuri kama malezi...mtoto akilelewa kwenye mazingira ya kujua kuwa ushoga ni kitu kibaya na Mungu hapedi cdhan kama atafanya...lazima atakuwa na hofu moyoni ata kama ana hisia hizo
 
unafki mtupu ....kila mtu atahukumiwa kivyake kwanini umhukumu mwenzako mnasema ushoga haujarusiwa kwenye bibilia au dini ya aina yeyote je nyie hamfanyi dhambi ...mimi sipendi ushoga ila kwanini nimchukie binadamu mwenzangu kisa maamuzi yake sina mda wa chuki aisee .....afterall ni sheria tu ndo bado ila mtaaani wamejaaa kama nini the more tunavyoliongelea ndo tunalichochea kila mtu akae na mwanae amweleshe sababu kwanzia mashuleni wapo ....mda unaenda things change
Chichidodo...ndumilakuwili.. using'ate na kupuliza af kuwa na msimamo...et mi sipendi ushoga af tena m siwezi kumchukia shoga...huo ni unaaa...huez chukia jambo af ukampenda anaelifanya
 
Hakuna kitu kizuri kama malezi...mtoto akilelewa kwenye mazingira ya kujua kuwa ushoga ni kitu kibaya na Mungu hapedi cdhan kama atafanya...lazima atakuwa na hofu moyoni ata kama ana hisia hizo
nakubaliana nawe kwa mtu anaye fanya ushoga kwa influence ya utandawazi, tamaa ya fedha nk. lakini kundi kubwa la hawa watu wako hormonal driven. kumbuka hapo katajwa hata mtumishi wa Mungu.
 
Back
Top Bottom