Tatizo ni hilo kwamba maoni yako ni bora kuliko hukumu ya mungu
Watu wa Noah walikataa kusadiki arithmetics za uongo na kweli au? hebu funguka kidogo.We kwa jeuri utawashinda watu wa Noah ! Huna ujanja hata wakupigana na mdudu 'mmbu'!! Jisifie ujuha tuu !
oooh ! Kumbe Kafiri ! Ndio maana hata hiyo equation imekaa kikafiri. Sijui ujuzi wa kukokotoa na kuelewa uliupata wapi ? BTW kuna kitu unapoteza !
unfortunately, akili na upeo mwingi wa waislam, hasa wanaoshabikia kuwepo kwa mahakama ya kadhi, ni wa aina hii. unajua umbumbumbu ni mzigo mkubwa sana sawa na kubeba jiwe/mwamba kwenye gunia.Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
unfortunately, akili na upeo mwingi wa waislam, hasa wanaoshabikia kuwepo kwa mahakama ya kadhi, ni wa aina hii. unajua umbumbumbu ni mzigo mkubwa sana sawa na kubeba jiwe/mwamba kwenye gunia.
kwa kukusaidia tu, wakati wa ugawaji mirathi, hatutumii sheria ya ndoa ya mwaka 1971. tunatumia sheria za kugawa mirathi, zipo wazi kabisa. sheria za ugawaji mirathi kwa watz ziko za aina kama nne, kutokana na ugawaji mirathi wa aina nne. aina hizo ni kama.
1. ugawaji kwa kutumia sheria za kimila
2. ugawaji kwa kutumia sheria za kiislam yaan quran
3. ugawaji kwa sheria ya kiserikali yaani ambayo huangukia kwa wakristo tu,7
4. ugawaji kwa kutumia sheria za kihindu.
wakristo wengi huangukia kwenye sheria ya kiserikali ambayo ni the indian succession Act, waislam huangukia kwenye ugawji mirathi kwa kufuata quran, watu wasio na dini au wafuata mila hufuata ugawaji kwa kimila na sheria yake ipo, wahindi pia hutumia ugawaji kwa sheria ya kihindu. kwasababu suala lililoongelewa ni la waislam na mahakama ya kadhi, ujue kuwa, wakati wa kugawa mirathi, ili kutambua ni sheria ipi inatakiwa kutumika kwa mtu, kuna vigezo viwili huwa vinatumika kutathmini, cha kwanza ni mwenendo wa maisha ya marehemu aliyokuwa anaishi, labda aliishi maisha ya kiislam, kikristo au kimila, na pili ni wosia au aina yaa sheria aliyotaka ije kutumiwa yeye mwenyewe aliyoisema au onyesha kabla hajafa.
wakati wa kugawa mirathi kwa kiislam, kadhi huwa anakuwepo pale mahakamani ili kuhakikisha kuwa sheria ya kiislam imefuatwa kikamilifu. ni lazima kadhi awepo, huwa anakuwepo lazima. kitu hiki kinaonyesha kuwa hakuna ulazima wa mahakama ya kipekee kuundwa kwasababu yale ambayo yangetimizwa katika mahakama hiyo bado yanatimizwa katika mahakama hizi..kadhi wanayemtaka huwa anakuwepo mahakamani na anakula ulaji vilevile, hawezi kukaa bure.
kwa kulinganisha sheria hizi zote za ugawaji mirathi, sheria inayokandamiza kuliko sheria zingine zote ni sheria ya kiislam na sheria ya kimila. sheria bora na inayofuata usawa ni sheria ya kiserikali ambayo ni ya waislam. mwanamke katika sheria ya kiislam anakandamizwa kupita maelezo, hathaminiwi si chombo cha thamani kabisa..nitaishia hapa kwasababu maandishi ningeandika mengi...
Bwana Ally, kama unaona kuna sehemu nimekosea kuhusu hesabu au hiyo Aya ya Quran unayo haki ya kuiweka sawa hiyo Aya na kufanya breakdown ya hesabu ili twende sawa. Kusema equation imekaa kikafiri ni ubishi wa kitoto wa mtu juha. Tueleze ukafiri wa equation na usahihi wa aya nilizozitaja na kuturekebisha, hiyo ndio itakuwa intellectual argument.
Na hii nakupa home work wewe na Topical nikitumaini mnazo Quran nyumbani mwenu. Hamna haja ya kuleteana ubishi, nawapa tu kama msaada muweze kuielewa Quran na mapungufu yake.
Sura 7:54, 10:3, 11:7, and 25:59 clearly state that God created "the heavens and the earth" in six days. But in Sura 41:9-12 the detailed description of the creation procedure adds up to eight days.
Ukiona ngumu kumeza, tema.
Mkuu acha kupotosha watu
a. Wewe unajua kuwa wakristo hawawezi kuwashinda kwa hoja waislamu kuhusu dini ipi ni ya kweli, tukianza kufanya hivyo hapa tutabadili mada; unajua wakristo wanavyolalamika kila siku kwamba dini yao inakashifiwa?? tuache hayo..
Naomba tujikite kwenye mada naomba uulize swali moja kwa wakati kuhusu mirathi maana unaonekana kuna mambo unataka kufahamu hasa haki za wanawake na kadhalika??
Nakushauri acha kejeli, majigambo na dharau maana tukianza kufanya hivyo nyinyi ni kwanza kwenda kwa Mods..kwamba wanakashifu dini..
Mbona umekazana kuwa ninapotosha umma ninapotosha umma lkn huelezi ninapotosha vipi?
Kwa hiyo unanitishia Mods?
Mimi sioni sehemu niliyokashifu dini yako. Haya niyasemayo nimeyatoa humo humo kwenye Quran. Shida yenu ni kwamba mnaogopa kwamba waumini wenu wakiyajua haya mtakosa majibu ya kuwapa. Mimi sina shida ukiniuliza jambo lolote toka kwenye Biblia. Sioni sababu ya kuwa mkali kwa kuwa tu nimehoji ipi ni aya sahihi kati ya mbili zinazopingana kuhusu uumbaji wa Allah.
Sawa nitaanza kuuliza swali moja at a time.
Swali la kwanza: Sura 4:11-12 inasema ikiwa mwanaume akafa, akiacha mke , binti watatu na wazazi wake, watapata urithi kwa uwiano wa Mabinti 2/3, wazazi 1/3 na mke 1/8. Nilitoa mfn jana kuwa ikiwa kiasi cha fedha alichoacha marehemu ni 100 tukiigawa kwa uwiano huo, mgawanyo utazidi kiasi cha fedha kilichopo. Je, Kadhi atatumia sheria gani kuamua kwa haki kwa mujibu wa Quran?
Tazama mfano hapa:
2/3 ya 100 = 66.7
1/3 ya 100 = 33.3
1/8 ya 100 = 12.5
Ukijumlisha hapa ndio utapata 112.5 ambayo ni zaidi ya 100 iliyopo. Sasa sitegemi utasema hii ni kashfa kwa hiyo nataraji majibu ya kisomi na sio manung'uniko na vitisho kuwa na wewe utaanza kashfa.
Tatizo lako ni hesabu au uelewa wa dini yetu ndio maana nilikushauri uwe unauliza kabla ya kupotosha sawa mkuu..pia sikutishii mod maana naamini waislamu kwa hoja za comperative religion wako mbali sana kila siku wakristo ndio wanaolalamika tuache hayo tujikite kwenye mada ndio ushauri wangu kwako..
kuhusu hili swali nimelijibu kule kwingine narudi kwa faida ya wanaJF
a. mgawanyiko unakuwa 2/3 inaenda kwa watoto wa kike wawili wa marehemu
b. 1/6 (sudusi) ya 1/3 iliyobaki (na siyo 100) kama unavyopotosha au kwa kutojua au kujifanya shujaa katika ujinga inaenda kwa mama mzazi
c. Sehemu iliyobaki ya mali inaenda kwa mke wa marehemu umeelewa au unahitaji ubao tuiingie darasani kabisa wewe dogo
Sura 4:11-12
When a man dies, and is leaving behind three daughters, his two parents and his wife, they will receive the respective shares of 2/3 for the 3 daughters together, 1/3 for the parents together [both according to verse 4:11] and 1/8 for the wife .
@shikuzan
Kwa kukurahisihia kwakuwa hesabu ngumu hizi fanya hivi; kwakuwa warithi wa mali ni watatu tu kwa mujibu wa swali lako mgawanyo utakuwa hivi:-
a. watoto wa marehemu wanawake watachukua =2/3 itakuwa imebaki 1/3 ya mali -ok
b. Mama ya mzazi atachukua sudusi 1/6 of 1/3 = 1/18 ya mali ya marehemu itabaki 5/6 ya mali -ok
c. mke wa marehemu atachukua 5/6 of 1/3 =5/18 ya mali ya marehemu
Sasa jumlisha: 2/3 +1/18 + 5/18 =18/18 =1
NB. kama kujumlisha sehemu ni tatizo nenda shule ok
ni defensive mechanism ya mtunzi wa Quran kwa kuchelea mapungufu yake yatahojiwa na walio na ufahamu zaidi yenu. Anawaandaa kupuuza fair challenges toka kwa waliopewa kitabu kabla yenu (waliosoma kabla yenu/wenye ufahamu zaidi yenu) kwa kuwa ni dhahiri Quran ilikopiwa toka vitabu vya kale na mijumuisho ya historia zilizopo kwenye Biblia lkn bila usahihi wa kutosha." ..na mtasikia udhia mwingi kutoka kwa wale waliopewa kitabu kabla yenu.."
Haya ya mimi na hesabu ni maombi yako tu kuwa niwe sijui, too late. Kitu nachosema hapa, huu ubishi utaisha pale tu utakaponiambia hii habari ya 1/6 ya 1/3 unaitoa wapi kwenye Quran. Yawezekana unanielewesha kitu ambacho siyo ndio shida yangu. Mimi si muarabu na maneno ya kiarabu nina ugeni nayo. Ni vyema tukairejea sura iliyoandikwa mambo haya ndio hapo unirekebishe kuwa "hapa wewe umechukulia hivi, wakati maana yake ni hivi" lkn ukikaa tu na kubuni namba zako ili equation zibalansi hatutaelewana.
By the way, Topical, hii ni defensive mechanism ya mtunzi wa Quran kwa kuchelea mapungufu yake yatahojiwa na walio na ufahamu zaidi yenu. Anawaandaa kupuuza fair challenges toka kwa waliopewa kitabu kabla yenu (waliosoma kabla yenu/wenye ufahamu zaidi yenu) kwa kuwa ni dhahiri Quran ilikopiwa toka vitabu vya kale na mijumuisho ya historia zilizopo kwenye Biblia lkn bila usahihi wa kutosha.
Kwa hiyo sioni kama kuchelea huku ni suala la kujivunia. Kuna maandiko mengi kwenye Quran ambayo ukiyatilia maanani yamepandikizwa mahali ambapo sio penyewe na yanaweza kukufanya ujiulize mara mbili. Naamini unazijua kwa hatuna haja ya kuwapa mashaka wengine wasijue waelekee wapi.
Lol...
Qurani inaeleza behaviour zenu toka mwanzo zinatokana na wivu na husda kwani sisi tuko kwenye haki na tunaenda paradise na nyie mnajua mnatumikia shetani..hamtupati..
Sasa niambie katika biblia "mgawanyo wa mali ukoje kwa wakristo wote duniani" usiniambie hukumu ya state courts??? NIL