Mtoa Msaada
Member
- Feb 5, 2019
- 57
- 32
Zimewekewa maneno ya kiswahili Na Djs wengine ila sio LUFUFUUnamaanisha nini unaposema zimetafsiriwa?
Yani zimewekwa maneno na sauti kama za kina rufufu, au zina subtittles?
- KANA -
Sorry Hata ambazo hazija tafsiliwa zipoYaan ukitaka untibue uniwekee hzo movie za kutafsiriana aisee
HizohizoUnamaanisha nini unaposema zimetafsiriwa?
Yani zimewekwa maneno na sauti kama za kina rufufu, au zina subtittles?
- KANA -
Unatafsiri mwenyewe na vp nikikutumia na mm movies zangu nlizotafsiri utaniwekea kwenye Chanel yko....Kwa wale wapenzi Wa movies na Series Zilizotafsiliwa Tumeanzisha Channel huko Telegram inayotoa Movies na series zote zilizo tafsiliwa Bureee kabisa Kazi Yako nikuandaa Bando tu Nakupakua Vitu Channel Ni Mpya Kabisa Hivo Join kisha Subili Mambo mazuri yanakuja...
Kutokana na Uongozi wa Jf kuzuia Links Ningependa Nikuombe Ukiwa na Telegram Nenda sehemu ya Kusearch Andika > Movies zilizo tafsliwa Channel Yetu itakuja na utaweza ku join...
Mfano Picha Inavoonyesha Hapo.
NB: MOVIES NA SERIES ZOTE ZINATOLEWA BILA GHARAMA YOYOTE..View attachment 1014933
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sio DJ aseeUnatafsiri mwenyewe na vp nikikutumia na mm movies zangu nlizotafsiri utaniwekea kwenye Chanel yko....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ziko vizur naweka tu hakuna shidaUnatafsiri mwenyewe na vp nikikutumia na mm movies zangu nlizotafsiri utaniwekea kwenye Chanel yko....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia unazipenda sana hzo za kina lufufu
Movie ikiwekwa maneno na wale jamaa ni bora nisome gazeti la juzi.
HahahaMovie ikiwekwa maneno na wale jamaa ni bora nisome gazeti la juzi.
- KANA -
mkude simba anatafsliw muv heeyeye si anafanya kutafsiliw Vipande vya comedy mzee baba.
Hivyo utavipata kwenye instagram Yake
Sent using Jamii Forums mobile app