Babu matembele
Member
- Jul 11, 2015
- 64
- 10
Saaafi sanaaa, Hawa wanaume wenzio wanataka mteremkoo ndo mana wanapandwa kichwaniii.....Huwezi kuuliza watoto wamekula kama hujaacha pesa, wale mawe au?
Uko sahh kbsa mkuu yan mwanaume unakua muoga wa majukum yako mbka unaboa sifa ya mwanamke mbka kwenye maandko wameandka kua mke ni mtu wa kulea familia
Wanaume wanaojitambua siku hizi ni wachache sanaaaa, waliobaki kazi ni kulialia na kupenda miteremko tu, basi tuolewe wote tujue moja.
Huo ni woga wa maisha. Wasio na elimu wanachangamoto zao na wenye elimu wanachangamoto zao. Itategemea unataka mke mwenye sifa ya kijamii (heshima) au kiuchumi(elimu na ajira). Maisha ni mipango usiogope changamoto
sijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!
Acha tu....sasa kuna faida gani kuwa na mume wakati unajihudumia kila kitu, plus anakuongezea mzigo wa kumtunza yeye na watoto, ukiuliza umesoma, una kazi...
Khaaa kama issue ni nanhhiii hata maji ya moto yanatosha. (nawasubiri waje na mihasira yao)
Iddy pili tunakula ubwabwa wa mtoto wa jirani yangu wa darasa la7 anaolewa! Kamuacha huyu anaejiona ni msomi wa yunivasiti anakodoa mimacho tu!
sasa we mwenyewe umeishia la pili A!wa degree utamuweza wapi???? hebu muwe mnachukua mnaofanana nao msituletee shombo hapa
Wanaume wanaojitambua siku hizi ni wachache sanaaaa, waliobaki kazi ni kulialia na kupenda miteremko tu, basi tuolewe wote tujue moja.
Umenena sista!! ila hapo mwisho ulivyomalizia loh!!
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .
Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.
Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.
Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.
Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?
Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
Iddy pili tunakula ubwabwa wa mtoto wa jirani yangu wa darasa la7 anaolewa! Kamuacha huyu anaejiona ni msomi wa yunivasiti anakodoa mimacho tu!
Du! Mm nilitaka kumtafuta wa degree kumbe??!