Wanaomzunguka wakishauri abadili Katiba aendelee kukalia hicho kiti, sioni kama atapima huo ushauri? bali ataukubali

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,144
Reaction score
162,541
Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba, hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo na kulifanyia kazi.

Hawawezi kuungana kumpiga kwasababu ya ubinafsi wa kupenda vyeo na uogo uliowatawala .

Kitu pekee kinachoweza kutuokoa, ni labda asiwepo kwenye hiyo nafasi by 2030. Otherwise, hili nilisemalo linaweza kabisa kutokea na kwenye chama chake hakuna mwenye ujasiri wa kumpinga zaidi tu ya kulalamika bila kuchukua hatua yoyote ya maana.

Hata wale wa pamba za mabakamabaka msitatajie watafanya lolote le kusaidia iwapo ataamua kubaki kwenye hiyo nafasi.

Time will tell.
 
Mods naomba muondoe hiyo alama ya kuuliza kwenye heading.
 
Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo.

Kitu pekee kinachoweza kutuokoa, ni labda asiwepo kwenye hiyo nafasi by 2030. Otherwise, hili nilisemalo linaweza kabisa kutokea na kwenye chama chake hakuna mwenye ujasiri wa kumpinga zaidi tu ya kulalamika bila kuchukua hatua yoyote ya maana.

Hata wale wa pamba za mabakamabaka msitatajie watafanya lolote le kusaidia iwapo ataamua kubaki kwenye hiyo nafasi.

Time will tell.
Ze nexst Mugabe,M7,Mubutu on ze move!
 
Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba, hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo na kulifanyia kazi.

Hawawezi kuungana kumpiga kwasababu ya ubinafsi wa kupenda vyeo na uogo uliowatawala .

Kitu pekee kinachoweza kutuokoa, ni labda asiwepo kwenye hiyo nafasi by 2030. Otherwise, hili nilisemalo linaweza kabisa kutokea na kwenye chama chake hakuna mwenye ujasiri wa kumpinga zaidi tu ya kulalamika bila kuchukua hatua yoyote ya maana.

Hata wale wa pamba za mabakamabaka msitatajie watafanya lolote le kusaidia iwapo ataamua kubaki kwenye hiyo nafasi.

Time will tell.
That ain’t happening. Kwanza simuoni akisalimika hata na ICC storm!
 
Back
Top Bottom