Kwani hakumkojozoza halafu tuangalie na mazingira pia ndio tutoe hukumu, haya mambo yametokea sehem ya ulevi na ukiangalia kwa umakini jamaa alikua tayari kagonga vyombo kadhaa. Ingekuwa amesema hivyo studio sawa alistahili lawawa.
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Mimi ni ke, lakini nasema hivi nipo upande wa gadna maana siku zote akuanzae mmalize. Jide mara nyingi sana alikuwa anapenda kumuimba mwenzio. Hilo Moja tu watu mapovu yanawatoka