Hapo najaribu kujenga picha Ru.g.e anamuambiaje G "yani umenifurahisha ulivyo kipa makavu kile kibibi kichawi kikomavu. Eti umekikojoza nyundo 15. Ebwana da umetisha sana. Usikiombe msamaha wala nini. Mi hata faini nitakulipia. Kapiteeyyn!!!”
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima