figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,008
- 64,031
Ni Watanzania? Huna jjinsi wala neno la kumtetea samia. AmeshalaanikaPicha ya katikati hapo juu ni vijana wa Mwanza kati ya miaka 7 na 15. Nani kama mama kwenye ukatili. Mitano tena ya mauaji, ufisadi, ufiraji, utekaji na utesaji.
Mama anaupiga mwingi kwa kuua watoto wa Tanganyika.
HatoboiHatari sana, huyu mama ni muuwaji wa kiwango cha juu
90% ni wanafique wakubwaNi dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao.
Furaha ipo wapi?
Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto?
Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha..
Binadamu njia yetu ni moja. Hata ukituua hautatumaliza. Utakufa utaacha vitukuu vyetu vikitetea haki zao. Wadai haki hakuna mwenye uwezo wa kuwateketeza
View attachment 3496592View attachment 3496593View attachment 3496594
Nadhani hata abduli akiuawa hivi hatajali.Picha ya katikati hapo juu ni vijana wa Mwanza kati ya miaka 7 na 15. Nani kama mama kwenye ukatili. Mitano tena ya mauaji, ufisadi, ufiraji, utekaji na utesaji.
Mama anaupiga mwingi kwa kuua watoto wa Tanganyika.
Duh,Picha ya katikati hapo juu ni vijana wa Mwanza kati ya miaka 7 na 15. Nani kama mama kwenye ukatili. Mitano tena ya mauaji, ufisadi, ufiraji, utekaji na utesaji.
Mama anaupiga mwingi kwa kuua watoto wa Tanganyika.
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
99.9990% ni wanafique wakubwa
Hili ni kundi la machawa linakula kwaDuh,
Ni huzuni mno,
Nimeona chawa Lucas Mwashambwa bila aibu anasema huyo mama ni mtetezi wa wanyonge na amewafikia!!
👇
Hicho ni kitu pekee kwa uhakika kitakachomstua. Kuondolewa madaraka au familia yake binafsi kuathirika.Nadhani hata abduli akiuawa hivi hatajali.
Atokee mzalendo mmoja PSU arudishe furaha.Hicho ni kitu pekee kwa uhakika kitakachomstua. Kuondolewa madaraka au familia yake binafsi kuathirika.
Kwa sasa hajali kivile bado ni mungu wa Tanzania akilindwa kwa jasho la kodi zetu na wale waliohahidi kulinda katiba ya JMT. Sasa hivi wanamlinda fisadi, muuaji mkuu, kikwazo kikuu cha Watanzania kustawi.
Ataishi kwa wasiwasi sana kuanzia sasa. Anajua zaidi ya nusu ya JWTZ, Polisi, usalama hawamtaki. Ni wale wa viongozi wa juu tu waliolamba asali wanamtaka kuendelea ili kulinda mirija ya asali zao.Atokee mzalendo mmoja PSU arudishe furaha.
Nilimsikia akiapa kuwa atailinda na kuitetea katiba ya jamuhuri ya kuunganisha wa Tanzania. Huko nyuma alisema “katiba ni kakijitabu tu, kama tuna heshimu vitabu basi tueshimu vitabu vya dini”Katiba ni kakijitabu tu