Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 433
Habari
Mheshimiwa Rais ana nia ya kuwasaidia watanzania hasa wale wa hali ya chini waweze kupata haki zao ambazo tangu uhuru walikua wanazifaidi wachache
Lakini limetokea kundi la watu ambao hawana hata haya eti wanampinga rais katika harakati za kuisafisha nchi na kuifanya nchi ya watu wenye machungu na haki za wengine
Kwa kweli hawa hawana uzalendo kabisa na hawaitakii mema nchi yetu yenye utajiri wa kutupwa lakini watu wachache ndio waliokua wanaufaidi
Mhe Rais ana moyo wa kuwatumikia watanzania kweli kweli mana anaongea mpaka anahisi yale mateso wanayoyapata watu wa hali ya chini ni kama yake, Aanaumia mpaka anataka kulia kwa sababu yauchungu anauhisi. Magu ana moyo wa kipekee kwa kweli
Ila tutafika tu pale Magu anapohitaji kutufikisha. Mwenyezi mungu yu pamoja na wanaonewa