Manasse
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 352
- 241
Kundi linalomkataa JPM ni dogo sana lakn linatumia nguvu na akili nyingi. Kundi hili linahusisha wale walozoea vya kunyonga badala ya kuchinja.
Kwa mtanzania yeyote yule alokuwa anaishi maisha ya ukweli (No Figisu) ktk kipato cheke si rahisi kumkuta anamponda JPM maana hakuna alipoguswa akaumia kama waumiavyo mafisadi na wezi wengine.
SWALI.
1. Kama wewe ulikuwa unapata mkate wako kihalali, JPM kakuharibia wapi?.
2. Unasababu gani ya kumuona hafai?.
3. Kwanini wanajitokeza watu ambao hatuwajui wanamponda JPM kwa kasi ya ajabu tena kwa kipindi kifupi tu cha miezi6?.
4. Ni lipi ambalo wapinzani waliliongea halafu JPM hajaligusa hata kidogo kwa miezi hii 6.
5. Kwanini wapinzani leo wanamsifu mzee JK wakati jana walimtukana kila tusi?.
6. Kwanini wapinzani leo hoja zao hutegemea MATUKIO badala ya sera?.
7. Kwanini wapinzani, leo hutumia mfumo wa mipasho kumshindanisha JPM vs JK wakat JK kaongoza 10yrs matokeo yake tushayaona na hayawezi kujirudia wakat JPM ni miezi6 sasa tu?.
8. Enzi za JK, wapinzani walisema anaongoza nchi kirafiki, coz kiongoz akifanya kosa anahamishwa badala ya kufukuzwa. Sasa mbona leo JPM anawafukuza mnalalamika badala ya kumuunga mkono?.
9. Umeme Service charge ilikuwa Tsh5520/= bila kodi, JPM kaiondoa yote. Unit1 ilikuwa Tsh298/= bila kodi sasa Unit1 ni Tsh292/= bila kodi, na yote haya kayafanya akitembelea bajeti ya JK, mbona hamumsifu kawasaidia wapigakura wenu na matokeo yake mnaishia kumponda?.
10. Elimu bure ilikuwani moja ya sera ya ukawa,JPM kaifanya bure from Pre to Sec na pia Capitation imeongezeka toka elfu4 hadi elfu 10, mbona hamuongelei hili?!.
11. Kajitahidi kubana matumizi kwa mambo yasiyo msingi kama sikukuu za kitaifa, mbona hili hamumsifu ndugu zangu UKAWA?!.
WATANZANIA TUJIFUNZE.
Mimi nilikuwa nawapenda sana UKAWA msimu ulopita, lakn leo si kwmb naipenda CCM bali nampenda JPM maana karejesha UZALENDO kwa watanzania na kurudisha umoja wa kitaifa.
Tuwe makini na siasa za maji taka kukosoa mambo yasiyo msingi hata kidogo.
Mliponda shule za kata na zoezi la walimu wa upe mwaka 2007, mkasema hazina viwango hata kidogo, Leo JPM anatumbua wanafunzi wasio viwango mnawatetea ili mpate sikio makini kwa watanzani.
Mnajifanya hamjui kwmb hao wasio na sifa walibana nafasi za wenye sifa kwa mabavu walonayo.
Kwanini tusitetee wanafunzi walonyimwa haki yao na badala yake tunatetea walonyang'anya haki za wengine?!.
NB:UNAFIKI WENU TUMEUJUA NDUGU ZANGU, KAWAPOTOSHENI WASIO NA UWEZO WA KUCHEZA NA AKILI ZENU PAMOJA NA MANENO MLOONGEA LAKN LEO MNAYAGEUKA.