kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,haya mtembezeni.
Ukweli wako uko wapi?? Mie nimesoma na mzee saa8. Kafie mbele banaAcha uongo,
Siasa zenu ndo hizo.Ningeshangaa kama usingechangia hapa.
Siasa zenu ndo hizo.
Nyingine hii
KUELEKEA BAVICHA.
(Kwanza - sigombei)
Ni hatari kwa chama kupata Kiongozi wa Taifa wa BAVICHA ambaye hana rekodi au uzoefu wowote wa uongozi wa ndani ya chama, wala hajawahi kushika nafasi ya ngazi ya msingi au tawi. Tunapoelekea kwenda kuchukua dola hatupaswi kufanya rehearsal ya uongozi muhimu wa juu kabisa kama nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA. Hatupaswi kufanya majaribio ya nafasi muhimu kama Mwenyekiti ambaye atakuwa ni mjumbe wa kamati kuu ya chama, baraza kuu na mkutano mkuu kwa cheo chake. Hapaswi kuwa na rekodi ya usaliti ndani ya chama. Hapaswi kuwa na rekodi ya rushwa ndani ya chama, hapaswi kuwa mpenda makundi ndani ya chama, hapaswi kuwa amejitafutia umaarufu kwa kuattack personalities! Awe na rekodi ya uaminifu isiyo na shaka. Awe anafahamu ngazi za chini na matatizo ya vijana wa vijijini bali siyo lower and upper middle class pekee yake za Twitter, Instgram, FB na Jamii forum. NITAMPINGA YEYOTE AMBAYE ATAKUWA NA SIFA HIZO. WATU TUMEKAA JELA TUKIWA NA VITANDA VIZURI, TUMEPIGWA BARIDI TUKIWA NA BLANKETI, TUMELALA NJAA TUKIWA NA MAVUNO MENGI, TUKAKOSA FURSA ZAIDI KWA SABABU ZA BAVICHA. Tulianza kuijenga Bavicha kabla haijaanza bado ikiwa ni Kurugenzi ya Vijana 2006 nikiwa na Mnyika, Kinabo, Regia, Killian Nango, Kafulila.... Tuliandika Katiba ya Bavicha, Tulikesha kuandika Sera ya vijana, tulikesha na kukeshaaaaaaa....tukaanza kwenda Field... Leo watu wanataka Uenyekiti kwa kutumia IPad akiwa chumbani kwake na hawara yake akipost FB... Leo mtu anataka Uenyekiti haijui ngazi ya msingi zaidi ya kuisoma na kuinukuu kwenye Katiba... anataka Uenyekiti.... Bavicha ni zaidi ya FB na JF... ni zaidi ya comments na likes!!! ni zaidi ya kuomba muongozo kwa moderates u guys!! Ni taasisi imara... ni zaidi ya socio-media... ni zaidi... JITAFAKARINI KWA KINA SANA....
Utahangaika sana moto ni ule ule.
hahaha hauziki huyo anamikono michafu ya usaliti, unafiki na Makundi.Utahangaika sana moto ni ule ule.
Daima ukweli utasimama ni bahati mbya mnatumia mbinu za kizamani,hahaha hauziki huyo anamikono michafu ya usaliti, unafiki na Makundi.
Nilimshauri mwanzoni kabisa hao aliokua anawatumikia wako nae kwa tahadhari kubwa wanafaha maji hayasahau halisi yake.
Unafiki na Usaliti na Tabia ya huyo jamaa yako.
hahaha hauziki huyo anamikono michafu ya usaliti, unafiki na Makundi.
Nilimshauri mwanzoni kabisa hao aliokua anawatumikia wako nae kwa tahadhari kubwa wanafaha maji hayasahau halisi yake.
Unafiki na Usaliti na Tabia ya huyo jamaa yako.
huyo Benn aliwaaminisha na kwakua nyie ni misukule mkabeba kama ilivyo.
nmeanza kuelewa malengo yenu, ila comrade Ben anafaa kuwa kiongozi wa bavicha taifa hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.