Wanaolipoti habari za tv hii ni sawa?

Wanaolipoti habari za tv hii ni sawa?

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
mwandishi.jpg
Au ndo ubunifu wa kazi
 
Hapa naonaa anahatarisha maisha ya huyo bwan aliyembeba.
 
Huyo jamaa hapo chini yupo kazini, yaani kazi yake ni kuwavusha watu,

Hii mbona ipo hata huku kwetu Bongo? Mvua kubwa ikinyesha baasi watu wanajipatia ajira ya muda kwaajili ya kuwavusha watu ng'ambo ya pili.
 
Back
Top Bottom