Wanaolilia Katiba mpya ni Wavivu na Wazembe!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Binadamu wavivu siku zote huwa na tabia moja inayofanana, nayo ni Visingizio, siku zote hutafuta visingizio ili kuhalalisha kushindwa kwao kufaulu kwenye maisha, iwe kwenye kusoma, kufanya kazi au hata kwenye mahusiano yao!

Na hawa watu wavivu wako wengi sana hapa TanZania, hili kundi linalotaka Katiba mpya ni kundi la watu Wavivu ambao wameshindwa kwenye maisha yao na sasa wanatafuta mchawi wa kumlaumu na sasa wamempata naye ni Katiba!
Hawa watu wanaamini kwamba muarobaini wa matatizo yao ni kuwa na Katiba mpya na maadamu hakuna Katiba mpya basi hawawezi kutoka kimaisha, sasa huu uvivu tu!

Hakuna nchi iliyoendelea kwa sababu ya Katiba, bali nchi huendelea kwa sababu ya juhudi za wananchi wote wa nchi hiyo kwa umoja wao kujituma bila kuchoka wala kutafuta visingizio, leo hii hata tukisema tuchukue Katiba ya Uswisi au sijui Japani bado baada ya miaka 20 baadaye tutakuwa hapa hapa tu kama siyo nyuma zaidi na ukichukuwa Katiba yetu ukaipeleka Uswisi au Japani hawawezi kuwa masikini kama sisi bali wataendela kupiga hatua, sasa ni kwa nini?
Ni kwa sababu Uswisi au Japani imeundwa na watu wasio wavivu, watu wasioshinda kutwa nzima kutafuta visingizio bali hujitoa na kukabiliana na changamoto zilizombele yao bila ya kulaumu na kulia lia au kutafuta mchawi!

Kuna nchi nyingi sana hapa Duniani zinatumia au zilitumia Katiba kama yetu kabisa na leo ziko mbali sana Kiuchumi, kisiasa na hata kijamii kwa mfano Singapore, Uchina, Urusi, hata Korea Kusini na Taiwani hapo mwanzo nchi kama Ujerumani zimejengwa na Katiba kama hii ya kwetu na zaidi leo hii Ujerumani ndiyo nchi tajiri klk zote Ulaya vile vile Japani walitumia Katiba kama hii ya kwetu hapo mwanzo hata Makaburu wa Afrika Kusini walikuwa wanatumia Katiba kama yetu na ndiyo iliyojenga AK ambayo leo hii kila mmoja wetu anataka kukimbilia huko kujifunza jinsi ya kuendesha nchi!
Nchi kama Uingereza ni nchi iliyoendelea lkn haina Katiba iliyoandikwa bora hata sisi tunayo lkn sijawahi kusikia Waingereza wakilaumu kwamba wana maisha magumu kwa sababu hawana Katiba!

Hivyo ninachotaka kusema ni kwamba TanZania siyo masikini kwa sababu ya kuwa na Katiba mbaya, HAPANA, bali TanZania yetu ni masikini kwa sababu ya sisi na Utamaduni wetu hilo ndilo tatizo na maadamu bado tuko jinsi tulivyo hata hiyo Katiba mpya ni kupoteza fedha tu kwani hakuna jipya litakalotokea!

Kwa mfano ni kwa nini Watoto wenye umri wa kwenda shule wamejaa br. kwenye miji yetu Mikuu wakiomba omba? Ni kwa nini hakuna mmoja wetu anayejitolea kuwasaidia hawa watoto? kesho akija Mzungu kuanzisha shule ya kuwasaidia ndio tutaanza kuwaongelea lkn kila siku tunawapita kwenye taa usiku wamelala chini tena tuwafungia vioo sasa hili la kutojali maisha ya watu wetu wasio na uwezo tena watoto linasababishwa na Katiba ?
Kwenye jamii nyingine watoto kama hawa wangeshasaidiwa na watu zamani sana kwa maana watu wangejuiliza huyu aliyelala hapa chini ni kama binti yangu au msichana wangu tu hivyo nina jukumu la kumsadia!
Huwo ni mmoja tu wa mifano mingi ambayo Katiba mpya haiwezi kubadilisha hata siku moja!

Ni lini ulisikia tajiri wa Kitanzania isipokuwa R. Mengi Mungu amsaidie amejitolea kusaidia masikini wetu? Kila ikifika Ijumaa Masikini wetu wengi huenda Posta na Kariakoo kwenye maduka ya Wahindi na Waarabu kupata msaada wa mahitaji mbalimbali kama fedha, chakula, au hata nguo, Je ni kwa nini hawa masikini wetu ambao wako kama sisi wamefanana sisi wanaenda kwa Wahindi na Waarabu na siyo kuja kwenye maduka yetu Sinza, Mwenge au hata Mikocheni kwenda kugonga magetini kwa matajiri wetu Mbezi Beach au Masaki kuomba msaada na kusadiwa?
Je Katiba Mpya itabadilisha hili?
 
Akili Zako Kama Huyo Mbwa Hapo Kwenye Avatar Yako.
 
Ndefu sana kusona.....nakubaliana na tabia za mtu mvivu lakini kwa hili la katiba mpya wewe ndo mvivu namba moja amka mkuu taifa linakuhitaji sana
 
Wewe siyo mjinga tu bali mpumbavu. Hufikirii pesa yote iliyotumika kuwa ilibeba uzito gani kwa akina nani na kwa manufaa ya nani? Mtumwa wewe utabaki hivyo hivyo

Kwa faida yako bila katiba mpya hakuna utawala bora kwa hiyo sahau maendeleo yako na vizazi vyako vijavyo.
 
Binadamu wavivu siku zote huwa na tabia moja inayofanana, nayo ni Visingizio, siku zote hutafuta visingizio ili kuhalalisha kushindwa kwao kufaulu kwenye maisha, iwe kwenye kusoma, kufanya kazi au hata kwenye mahusiano yao!

Na hawa watu wavivu wako wengi sana hapa TanZania, hili kundi linalotaka Katiba mpya ni kundi la watu Wavivu ambao wameshindwa kwenye maisha yao na sasa wanatafuta mchawi wa kumlaumu na sasa wamempata naye ni Katiba!
Hawa watu wanaamini kwamba muarobaini wa matatizo yao ni kuwa na Katiba mpya na maadamu hakuna Katiba mpya basi hawawezi kutoka kimaisha, sasa huu uvivu tu!

Hakuna nchi iliyoendelea kwa sababu ya Katiba, bali nchi huendelea kwa sababu ya juhudi za wananchi wote wa nchi hiyo kwa umoja wao kujituma bila kuchoka wala kutafuta visingizio, leo hii hata tukisema tuchukue Katiba ya Uswisi au sijui Japani bado baada ya miaka 20 baadaye tutakuwa hapa hapa tu kama siyo nyuma zaidi na ukichukuwa Katiba yetu ukaipeleka Uswisi au Japani hawawezi kuwa masikini kama sisi bali wataendela kupiga hatua, sasa ni kwa nini?
Ni kwa sababu Uswisi au Japani imeundwa na watu wasio wavivu, watu wasioshinda kutwa nzima kutafuta visingizio bali hujitoa na kukabiliana na changamoto zilizombele yao bila ya kulaumu na kulia lia au kutafuta mchawi!

Kuna nchi nyingi sana hapa Duniani zinatumia au zilitumia Katiba kama yetu kabisa na leo ziko mbali sana Kiuchumi, kisiasa na hata kijamii kwa mfano Singapore, Uchina, Urusi, hata Korea Kusini na Taiwani hapo mwanzo nchi kama Ujerumani zimejengwa na Katiba kama hii ya kwetu na zaidi leo hii Ujerumani ndiyo nchi tajiri klk zote Ulaya vile vile Japani walitumia Katiba kama hii ya kwetu hapo mwanzo hata Makaburu wa Afrika Kusini walikuwa wanatumia Katiba kama yetu na ndiyo iliyojenga AK ambayo leo hii kila mmoja wetu anataka kukimbilia huko kujifunza jinsi ya kuendesha nchi!
Nchi kama Uingereza ni nchi iliyoendelea lkn haina Katiba iliyoandikwa bora hata sisi tunayo lkn sijawahi kusikia Waingereza wakilaumu kwamba wana maisha magumu kwa sababu hawana Katiba!

Hivyo ninachotaka kusema ni kwamba TanZania siyo masikini kwa sababu ya kuwa na Katiba mbaya, HAPANA, bali TanZania yetu ni masikini kwa sababu ya sisi na Utamaduni wetu hilo ndilo tatizo na maadamu bado tuko jinsi tulivyo hata hiyo Katiba mpya ni kupoteza fedha tu kwani hakuna jipya litakalotokea!

Kwa mfano ni kwa nini Watoto wenye umri wa kwenda shule wamejaa br. kwenye miji yetu Mikuu wakiomba omba? Ni kwa nini hakuna mmoja wetu anayejitolea kuwasaidia hawa watoto? kesho akija Mzungu kuanzisha shule ya kuwasaidia ndio tutaanza kuwaongelea lkn kila siku tunawapita kwenye taa usiku wamelala chini tena tuwafungia vioo sasa hili la kutojali maisha ya watu wetu wasio na uwezo tena watoto linasababishwa na Katiba ?
Kwenye jamii nyingine watoto kama hawa wangeshasaidiwa na watu zamani sana kwa maana watu wangejuiliza huyu aliyelala hapa chini ni kama binti yangu au msichana wangu tu hivyo nina jukumu la kumsadia!
Huwo ni mmoja tu wa mifano mingi ambayo Katiba mpya haiwezi kubadilisha hata siku moja!

Ni lini ulisikia tajiri wa Kitanzania isipokuwa R. Mengi Mungu amsaidie amejitolea kusaidia masikini wetu? Kila ikifika Ijumaa Masikini wetu wengi huenda Posta na Kariakoo kwenye maduka ya Wahindi na Waarabu kupata msaada wa mahitaji mbalimbali kama fedha, chakula, au hata nguo, Je ni kwa nini hawa masikini wetu ambao wako kama sisi wamefanana sisi wanaenda kwa Wahindi na Waarabu na siyo kuja kwenye maduka yetu Sinza, Mwenge au hata Mikocheni kwenda kugonga magetini kwa matajiri wetu Mbezi Beach au Masaki kuomba msaada na kusadiwa?
Je Katiba Mpya itabadilisha hili?

Utakuwa umekula ule uchafu uliotokana na majipu yaliyotumbuliwa (usaha) si bure!
 
Nilivyosoma kichwa cha habari tu, basi na kilicjoandikwa ni upuuzi mtupu, hakika wewe ni janga LA kitaifa,
 
Ndy maana tunachekwa kwamba Watz hatuna akili kumbe ni baadhi ya watu kama huyu kiumbe
 
Sioni haja ya kumtusi huyu jamaa, kuna maswali ameyauliza hapo ya msingi kabisa. Sio kila kitu lazima kisuluhishwe na katiba. Mara nyingi nimekumbana na mada za huyu jamaa na mimi humwona kama mwenda wazimu vile, lakini hii hapa ya leo naona ina msingi.

Ni jambo nzuri kuwa na katiba mpya, lakini pia ni muhimu kujiuliza maswali magumu kwamba kipi unaweza fanikisha kwa sasa wewe kama wewe bila kusubiri katiba mpya. Hilo la kuwasaidia maskini linafaa kuongelewa jameni, kwanini wanakwenda kuwaomba wahindi na waarabu na hawakwendi kwa weusi wenzao. Upo kwenye hummer yako unawapita watoto wahangaikaji na omba omba pembezoni mwa barabara halafu unategemea katiba itakubadilisha.

Mleta mada alitumia kichwa cha mada vibaya na ndio maana kimeibua hisia hivi, lakini maswali anauliza ya msingi na muhimu sana.
 
Back
Top Bottom