Wote ni ndugu wa Tanzania,naombeni jamani haya mambo yaishe tuishi kwa amani na upendo.Vita ni mbaya,tumeona Rwanda,Burundi,DR Congo.
Naomba masheikh na maaskofu wakae pamoja wamalize hili sakata,polisi hawawezi kumaliza hili sakata la udini.
Ndugu zangu, hali ya Zanzibar si njema. Na huku Dar nako tunaambiwa kesho itakuwa balaa baada ya swala ya Ijumaa. Nashauri JWTZ wakae mkao wa kuoiokoa jamii isiyo na hatia katika kadhia hii.
wote ni ndugu wa tanzania,naombeni jamani haya mambo yaishe tuishi kwa amani na upendo.vita ni mbaya,tumeona rwanda,burundi,dr congo.
Naomba masheikh na maaskofu wakae pamoja wamalize hili sakata,polisi hawawezi kumaliza hili sakata la udini.
nakubaliana na ww...., sasa baada ya polisi kuuwawa znz,, nadhani utaona kamata kamata.., yani makanisa yote yaliyochomwa tangu kipindi ile,, hakuna cha maana polisi wamefanya..,
mm nadhani jwtz ifanye internal security at least miezi mitatu afu utaona difference
Ni mpaka achomwe nani ndio washituke?Paka Jimmy, uko sawa kabisa kuwa Police wamezidiwa wao ni mabomu ya machozi tu, tena polisi 10 waandamanaji 400.
Kuna ka -operesheni kanaitwa "Operesheni Okoa"kakipita hako mambo yote yatakuwa shwari kabisa.
Mimi nawasubiri waislamu kesho hapa maeneo ya kanisani waje waone shughuli yake maana uvumilivu tena basiPolice watafanya nini? mnataka kuchukua kazi yao.
Pengine itakua ndo mazoez kuelekea Malawi......