Mbona reasoning yako haina logic...hujawahi kusikia mtu hana kipato kabisa lakini anaishi anakula, analala,ana kuvaa, na kusafiri pia sembuse anae pokea mshahara mdogo ... juwa bina adamu sio mnyama yeye anajiongeza nakupambana na nature ili aendelee ku survive.....acha kureason kama wa darasa la saba.