Wanaokopesha magari

yusimi

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Habarini wana jf wenzangu
Mimi na umri wa miaka 25.nataka nimiliki gari. Naomba yeyote anaejua wanaokopesha magar anipe contact au directions. Nataka gari ndogo inirahisishie mambo madogo madogo. Asanteni
 
una sh ngapi kianzio?
unataka gari aina gani.?
shughuli yako ya kukuingizia kipato ni ipi

jibu nkiunganishe
 
kanuni za kukopesha mara nyingi zinaambatana na dhamana, una nini cha kuweka dhamana?
 
jiandae gari ya milion8 kuuziwa 11...kupitia huo mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…