erasto sichila
Member
- Sep 20, 2023
- 26
- 40
Mtu anaondoka asubuhi SAA 2/anakaa kwenye kahawa kijiweni hadi SAA 12 jioni ,amekula nini kazalisha nini haijulikani .
Mtu kukaa jiweni na huku unajadili Matukio ya kisiasa kwa ufahamu mkubwa ni ujinga kwani watu huu ujuzi,wa mambo kwani mtu,hawezi jua mlengo wako ,wengi huchukulia ni njaa inakusumbua au wivu wa wenye madaraka.
Ungetumia kufikiri ufanye nini , walau maisha yangesonga.
Wazungumuzaji wakubwa husumbuliwa na Sonona ya maisha hasa wakosoaji wa utawala.
Kwa wengine wanao unga mkono utawala huwa wanaamini wataonekana na kuitwa wakapewe kazi au chochote kitu
Nikweli kujiliburudiasha baada ya kazi ni jambo jema ,lakini kushinda lwenye vijiwe vya kahawa ni upuuzi wa fikra
Watu wabadilike wajitume katika shughuli ndogo au kubwa ,sio kushinda kwenye vijiwe vya kahawa.
Hii aibu unanunuliwa kikombe au vikombe vya kahawa na member wewe unacho Fanya ni kuongea pointi zako zisizo na mpangilio na kusifia wenzio ,Fulani anahela au amesoma hii yote ya nini?
Naujue simple mind discuss people the wise discuss issues
Unaweza kuamua kubadilika na ukafika mbali .
Hitimisho mabadiliko ni ww acha kujiliwaza na kutafuta sifa zisizo na tija