Wanaojua ni wahusika wa vitendo hivyo

Wanaojua ni wahusika wa vitendo hivyo

Noe mimi

Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
12
Reaction score
1
Naomba nieleweke katika mtizamo huu:
Dr. Ulimboka, mimi nahisi kaambiwa nyamaza kwani alisema anawajua, anajua aliyechukua wallet na simu, na amewatambua waliohusika na mengi alisema atasema lakini hakusema.....
Dr. Mwakiembe, naye alisema anajua nini chanzo cha sumu, anajua nani wametumwa na aliyewatuma lakini hakusema alikaa kimya so nayeye aseme wale waliomfanyia ni kina nani...
Kubenea, naye atuambie ni kina nani walimfanyia walivyo mfanyia kwa anajua kama hajui anawatu anawahisi aseme....

Zaidi wote waseme na polisi waseme wamefikia wapi katika kesi hizo...
Pia wahusika waseme na waseme sio ukipewa unanyamaza; TUJIFUNZE KUSEMA NA TUSIME KUNUSURU WENGINE..
 
Anayejua kasahau ya kwamba wengine pia wanajua kama yeye ...hata wasiposema kwa vile na sie tunajua wala hatupati tabu.
 
Back
Top Bottom