1. Unaelewaje usemi huu "Chama kushika hatamu"? eleza kinagaubaga ukitolea mifano halisi, si chini ya kurasa tatu.
2. Eleza maudhui ya mkakati wa "Siasa ni kilimo" kurasa 5 au zaidi
3. Bila CCM nchi itayumba, Je unakubaliana na usemi huu? eleza kwa kirefu
Hayo ndo baadhi ya maswali niliyokutana nayo siku nilipotaka kuhamia mjini kwa kutafuta kazi tajwa hapo juu. Kilichofuata
Nyati mimi nikaamua kurudi zangu porini hadi leo