kifupi wametoa watu wanaohusika na mambo ya kilimo na mifugo nadhani kwa wale wadau linawahusu,ila wale tulokimbia kilimo halituhusu
Juz walitoa ya kilimo, na leo ni ya kilimo pia?
Msaada. Mwenye uzoefu na interview za afisa tarafa tunaomba kushare jamani.
1. Unaelewaje usemi huu "Chama kushika hatamu"? eleza kinagaubaga ukitolea mifano halisi, si chini ya kurasa tatu.
2. Eleza maudhui ya mkakati wa "Siasa ni kilimo" kurasa 5 au zaidi
3. Bila CCM nchi itayumba, Je unakubaliana na usemi huu? eleza kwa kirefu
Hayo ndo baadhi ya maswali niliyokutana nayo siku nilipotaka kuhamia mjini kwa kutafuta kazi tajwa hapo juu. Kilichofuata Nyati mimi nikaamua kurudi zangu porini hadi leo