Ingia kwenye internet then search hiyo paypal page... register kama kawaida... kuna info kuhusu bank account yako .. utajaza na utajaza tarakimu tatu ambazo znaonekana kwenye either visa au mastercard atm card....
Kama kichwa cha habari hapo juu kuna mahali nimepiga bingo za kufanya kazi online sasa wamenipa utaratibu wa kutumia paypal kwenye malipo sasa kwa hapa bongo sijajua utaratibu wa kupata hiyoo huduma kwasasa naombeni msaada kwa wanao jua. Plz
Mkuu mimi nimefanya hivyo na ninaendelea kununua bidhaa nyingi nje kupitia paypal....Duh - Halafu unawapa hao jamaa hizo details zote online?? Zile namba tatu ambazo ziko nyuma kwenye Visa au Mastercard ndio Password yenyewe. Sasa ukiwapa hao jamaa ni sawa sawa umewapa account yako wafanye watakavyo - watakuacha kweli hao jamaa kuipiga hiyo account yako?? Kweli mambo mengine huwa tunajitakia wenyewe..........
Mkuu mimi nimefanya hivyo na ninaendelea kununua bidhaa nyingi nje kupitia paypal....
Hawa jamaa wa paypal sio matapeli... hata ukienda kwenye bank yako husika ukiwaambia kwamba unataka account yako itumike kufanya malipo online wata suggest utumie paypal...
Paypal watakuwa wanakukata charge yao ya kuwatumia... and it is very easy kuitumia
Njoo BankABC Branch yoyote, kafungue Account ya Online Payment. Watakupa maelekezo yote. Ni Bank hiyo tu ndo wanatoa Huduma ya Malipo ya Online.Kama kichwa cha habari hapo juu kuna mahali nimepiga bingo za kufanya kazi online sasa wamenipa utaratibu wa kutumia paypal kwenye malipo sasa kwa hapa bongo sijajua utaratibu wa kupata hiyoo huduma kwasasa naombeni msaada kwa wanao jua. Plz
Inabidi usajiri kwanza kadi yako (iwe visa au mastercard) kwenye benki husika iweze kufanya manunuzi mtandaoni (online purchase). Baada ya hapo fuata ushauri huo wa 'little hulk'.Ingia kwenye internet then search hiyo paypal page... register kama kawaida... kuna info kuhusu bank account yako .. utajaza na utajaza tarakimu tatu ambazo znaonekana kwenye either visa au mastercard atm card....
Benki karibu zote zinazote 'visa/ mastercard' husajiri kununua mtandaoniNjoo BankABC Branch yoyote, kafungue Account ya Online Payment. Watakupa maelekezo yote. Ni Bank hiyo tu ndo wanatoa Huduma ya Malipo ya Online.
Hata 'debit card' kama benki husika imeisajiri kufanya manunuzi/malipo online utaitumia bila hata kupitia paypal. Pia ukiwa nje ya Tanzania unaweza kuitumia kwenye ATM au maduka yanayokubali hizo card.Inawezekana ukiwa na crédit card