PostGE2025 Wanaojifanya kukemea wananchi wasiandamane, wanaipenda NCHI au MAMLAKA?

PostGE2025 Wanaojifanya kukemea wananchi wasiandamane, wanaipenda NCHI au MAMLAKA?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
241
Reaction score
1,057
Ukifuatilia, wengi wa viongozi wanaokemea watu wasiandamane ni kama wanataka raia watulie na kuburuzwa.

Issues zinazolalamikiwa na wananchi hazifanyiwi kazi, watu wanaendelea kutekwa, hofu ya wananchi juu ya maisha yao inazidi kutanda kwani wananchi wanatekwa, wanapotezwa au kuuawa na haijawahi kusikika kiongozi wa juu na mamlaka za husika zikikemea vitendo hivi wazi wazi.

Tangu awe Rais, Samia hatoi kauli thabiti ya kukemea matendo haya ya kikatili dhidi ya maisha ya watu.

Wengi wa wanaotufokea ni wanaotaka vyeo, wenye ukaribu au kunufaika kwa namna moja au nyingine na Serikali iliyo madarakani.

Kuna wizi uliopiliza wa mali za umma. Watu wanapambana wapate vyeo ili waitafune nchi huku uwajibikaji ukiwa sifuri kabisa.

Vyombo vilivyopewa dhamana badala ya kutekeleza wajibu wake vinatumika kuumiza wananchi badala ya kuwatumikia.

Yaani, tumekuwa Taifa la ajabu sana. Tuna watu wanaotuona kama mifugo yao, si wananchi.

Haya mambo yanakwaza sana. Huyu kijana (video) kaeleza vema
 

Attachments

  • TUNAENDELEA KUPELEKA MOTO ,SIO SISI TUTATUBU ILA NINYI NDIO MTATUBU#viral_video #friends #fypシ゚v.mp4
    31.2 MB
Tangu uchaguzi upite nani umesikia ametekwa??
 
Ni nyumbu wa mbogamboga pekee wenye maoni na mitazamo ya hovyo kama hiyo.
 
Watekaji ni ccm na polusi, wauaji ni ccm na polisi, una tegemea nini kutoka kwao.

Wanadema mange analipwa kuhamasisha maandamano, wao anawalipa nani kuteka, na kuua watanganyika?

Sisi tutaahangaika na mwenye mbwa, hatuta sikiliza kelele mbwa wabwekaji.

Tukutane D9 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom