Wanaoishabikia CCM

Wanaoishabikia CCM

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
16,878
Reaction score
34,292
1442824755764.jpg waliokosa matumaini kabisa. 1442824793698.jpg vichwa vyao ndani vipo hivyo. 1442824839126.jpg 1442824876933.jpg na wengine wanakula ccm kulala UKAWA 1442824930287.jpg
Na sisi team mabadiliko tunasema hiviii... 1442824998042.jpg
Bila kusahau maombi 1442825054907.jpg
#team #mabadiliko #2015
 
kama kuna mwanafunzi alijiandikishiaga chuoni na wakati wa kupiga kura atakuwa kwao aende kwa mkurugenzi au ofisi ya kata/wilaya wambadilishie taarifa zake ili aweze kupiga kura sehemu aliyopo:- sambaza ujumbe huu kwa wanafunzi wa chuo na rafiki zako kwenye magroup. Wakati wa mabadiliko ni sasa
 
hawa ndo hawo wanoweka foleni hawana akili
 
Attachments

  • 1442825245898.jpg
    1442825245898.jpg
    49.3 KB · Views: 992
hii ndo ccm wanapaki barabarani wanajibu jeuri wakuu niasidie hii ni ya kiongozi gani imepaki bararani mda huu na driver mjeuri kweli amesababisha foleni kwa mno
 
kama kuna mwanafunzi alijiandikishiaga chuoni na wakati wa kupiga kura atakuwa kwao aende kwa mkurugenzi au ofisi ya kata/wilaya wambadilishie taarifa zake ili aweze kupiga kura sehemu aliyopo:- sambaza ujumbe huu kwa wanafunzi wa chuo na rafiki zako kwenye magroup. Wakati wa mabadiliko ni sasa

Mkuu si nasikia uraisi unapiga tuh ila ubunge haupigi? Au ukienda huko kwa mkurugenzi ndio unachagua hadi madiwani?
 
Mkuu si nasikia uraisi unapiga tuh ila ubunge haupigi? Au ukienda huko kwa mkurugenzi ndio unachagua hadi madiwani?

Changamka hata kura ya urais hutopiga .. Kabadili taarifa
 
kama kuna mwanafunzi alijiandikishiaga chuoni na wakati wa kupiga kura atakuwa kwao aende kwa mkurugenzi au ofisi ya kata/wilaya wambadilishie taarifa zake ili aweze kupiga kura sehemu aliyopo:- sambaza ujumbe huu kwa wanafunzi wa chuo na rafiki zako kwenye magroup. Wakati wa mabadiliko ni sasa

sawa mkuu tujitahidi kusambaza huu ujumbe kadri inavyowezekana
 
Last edited by a moderator:
Usicheke wenzetu wapo empty

Ninachocheka mbali na u empty huo ni kuwa vina vuja kwakuwa hata wajazwe mambo kesho wanasahau.
Kuna wimbo mmoja wa Mchinga Sound enzi hizo unaitwa Kichwa cha panzi.
 
maisha yamekuwa rahisi sana siku izi maana ukiishabikia UKAWA tu automatical unajiona una akili hata uwe na dv 5

Chagua lowasa
 
Attachments

  • 1442831557487.jpg
    1442831557487.jpg
    13.4 KB · Views: 328
Lowassa na Sumaye wenye kila kitu wametoka ccm wewe hohehahe,mlala hoi,choka mbaya unasubiri nini huko ccm?
 
Yaani nyie hangaikeni tu, ila hata maiti yangu haiwezi kuipigia kura ukawa.

Hahahaaaa unapoteza kura yako bure kuipigia fisiemu.
Ila wew ni sister wangu hahagaa usinichambe
 
Back
Top Bottom