wanaoipenda na wasioipenda jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaoipenda na wasioipenda jumatatu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by spartacus, Oct 1, 2012.

 1. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kibinafsi, naichukia jumatatu, koz naamka nimechoka, and nikikumbuka kazi yangu, isiyoiingizia faida taifa, bali inayoweza kunipa kula mimi na wanangu wawili, Brice and liycris........BUT,nikkikumbuka enzi zile sina pa kujishikza, nilikuwa nazipenda sana jumatatus.......hii nimefanya kucategorize kundi za ppo wanaopenda na kuchukia jumatatu katika makundi mawili


  1.o wanaoichukia jumatatu, wengi ni waajiriwa, iwe serikali au sekta binafs, ilimradi wewe ni employee, na upo chini ya mtu, ambaye anapaswa kukwambia nini cha kufanya wapi na saa ngapi....KUNDI hili, huwa haliipendi sana jumatatu, koz, ili kupunguza machungu ya kazi na kutumwa tumwa, ikifka wikend,huwa wanatumia sana, na kujirusha, hali inayowafanya kuamka wakiwa hoi siku ya jumatatu....na kutamani kuendelea kulala, ila wakikumbuka kazi, huamka, angali wamenuna....na kwenda kazini...siku hii, makonda, askari hutukanwa sana kimoyomoyo na kwa sauti pia...koz pipo zinakuwa angry muda wote.....

  2.0 kundi la pili ni wale wasio na kazi, these pipo bana, wanaipenda jumatatu balaa, koz huwa wanatamani ifike ili wakastrugle kutafuta pakujishikiza....unakumbuka enzi zile huna job?? daily uko town....buku mfukoni, bahasa 10 mkononi....unapiga mizunguko j3,j4 na j5.....basi, ndo huwa siku za kuomba kazi...hapo nauli umegongea home, au kwa bro...kiatu kimeisha soli....sarawili ni ile ile daily....

  BUT, as wise men said....binadamu huwa tunasahau mapema.................................................
   
 2. N

  NAKIVONA Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mim siipendi jtatu coz foleni huwa kubwa kuliko siku nyingine,na watu wanakuwa wamenuna .
   
 3. m

  makeda JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Juma

  Na

  Tatu
   
Loading...