Simung'unyi maneno. Ni shirika ambalo limeshaisababishia nchi Hasara ya Kutosha. Ndege hizi zilisababisha watu wakaumizwa KWA kutoonekana Wazalendo. Shirika hili kufufuliwa iligharimu nchi KWA fedha nyingi sana.
Halafu kuna wapumbavu wachache wameamua kulihujumu na kuliua tena shirika hili bila kujali maumivu Wananchi waliyopitia kuzipata hizi ndege. Wakamatwe, Washitakiwe KWA Uhaini, Wanyongwe HADI Kufa. Imekuwa kawaida kusikia ndege hizi ni mbovu, imekuwa kawaida sana kusitisha Safari tena bila kuwapa taarifa Wateja wala kuwafidia KWA chochote.
Mheshimiwa Rais, ule mpango wa kuipa ATCL ndege hizi moja KWA moja usitishwe mara moja, ZITATOWEKA ZOTE HATA KWA KESI ZA MCHONGO! Pia sitisha uagizaji wa ndege zaidi!