Wanaoifahamu kampuni ya JANDU PLUMBERS

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,568
Reaction score
7,463
Hawa wapo sana Arusha town, kampuni ipoje na salary zao kwa wafanyakazi like engineers-just range zao coz salary nu mapatano, mabosi (manake wahindi wanazingua sana smtms), ukiacha mabomba wanadeal na mambo gani zaidi ya ujenzi?
Shukrani natanguliza! !
 
Okey! mm naifahamu sana JANDU CONSTRUCTION AND PLUMBERING kwani nilisha wahi kua Mhasibu msaidizi zaid ya mwaka mmoja tangu mwaka 2010 to 2011. Makao makuu ya hii kampuni ni DAR-ES-SALAAM na ina matawi DODOMA, MWANZA NA ARUSHA. Kwa ukweli ni kampuni kubwa isipokuwa wanaiendesha kiindi sana, hasa kwenye masuala ya mshahara kwani hawajui kuhusu elimu yako bali wanaangalia je ww ni Muhindi? Kwa wakati ule waalikua wanalipa kwa INJINIA kuanzia Tsh.7500 mpaka 10000 kwa siku kwa wazawa,na Dollar 500 kwa siku kwa wahindi. Kwa wazawa manyanyaso kama kawaida.Kuna jamaa mmoja aliwahi kufanya pale kama injinia baada ya kumaliza chuo alikua analipwa 5000 kwa siku plus manyanyaso, ukweli hakudumu hata mwaka aliondoka.Kwa ujumla hawa jamaa wanajihusisha sana na CONSTRUCTION NA PLUMBING tu basi.Kama huna cha kufanya nenda kajishikize pia upate uzoefu
 
Okey! mm naifahamu sana JANDU CONSTRUCTION AND PLUMBERING kwani nilisha wahi kua Mhasibu msaidizi zaid ya mwaka mmoja tangu mwaka 2010 to 2011. Makao makuu ya hii kampuni ni DAR-ES-SALAAM na ina matawi DODOMA, MWANZA NA ARUSHA. Kwa ukweli ni kampuni kubwa isipokuwa wanaiendesha kiindi sana, hasa kwenye masuala ya mshahara kwani hawajui kuhusu elimu yako bali wanaangalia je ww ni Muhindi? Kwa wakati ule waalikua wanalipa kwa INJINIA kuanzia Tsh.7500 mpaka 10000 kwa siku kwa wazawa,na Dollar 500 kwa siku kwa wahindi. Kwa wazawa manyanyaso kama kawaida.Kuna jamaa mmoja aliwahi kufanya pale kama injinia baada ya kumaliza chuo alikua analipwa 5000 kwa siku plus manyanyaso, ukweli hakudumu hata mwaka aliondoka.Kwa ujumla hawa jamaa wanajihusisha sana na CONSTRUCTION NA PLUMBING tu basi.Kama huna cha kufanya nenda kajishikize pia upate uzo
 
Mh!! Nina ndugu yangu alikuwa hiyo kampuni akahama hadi leo wanamtafuta loh hawafai hao mshahara ni poor + kutumikishwa! Kama wataka kufa maskini na elimu yako go there but utapata uzoefu + channels!
 
Umeandika everything I want, thanks kiukweli wameniita bt Mh sidhani kama ntatia maguu, nimechoshwa na wahindi
 
Mh!! Nina ndugu yangu alikuwa hiyo kampuni akahama hadi leo wanamtafuta loh hawafai hao mshahara ni poor + kutumikishwa! Kama wataka kufa maskini na elimu yako go there but utapata uzoefu + channels!

Ahsante kwa kufunguka kiufupi Nina mauzoefu yangu ya kutosha tu siihitaji stress za wahindi kwa wahindi kwa sasa labda nikose kabisa options za kufanya, thanks!
 
me nashaur uende ukawaskilize kwanza and what they have to offer...u never know things might be different
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…