wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

Nyooooo sura umekupauka kama unga wa muogo, eti napenda ajira za serikali nyoooooo tutoke hapa

we baki na roho mbaya tuu. mimi naomba ushauri ww unaniponda. na taarifa yako nishajua tabia yako hata siitaji mchango wako tena
 
ndugu yangu iyo coz umeumia ajira zake ni ishu, me nakushauri achana nayo tafuta kitu kingine cha kufanya, mm nimesoma iyo kitu mpaka sasaivi hali ni mbaya kwanagu nilimaliza 2008 mpaka sasaivi sina kazi wala kibarua cha iyo kitu

2008 na nane ulimaliza kutoka chuo gani tafadhali.
 
nilisoma softwrae engineering ahata ningetwakiwa kuchagua tena ningechagu=wa software engioneering unahitaji kukomaa sana na code ukiipenda unweza fanya mambo mazuri nafasi zipo
 
nilisoma softwrae engineering ahata ningetwakiwa kuchagua tena ningechagu=wa software engioneering unahitaji kukomaa sana na code ukiipenda unweza fanya mambo mazuri nafasi zipo

i love it. thanks kwa motivation
 
Course ni nzuri,wasiwasi wangu ni chuo alichoxhaguliwa
 
Course ni nzuri,wasiwasi wangu ni chuo alichoxhaguliwa

nimeangalia tcu guide book ya mwaka huu ni nyuo viwili tuu tanzania nzima vinavyotoa hiyo coz.
ruco na udom bac. lakin mbona udom wanakidharau hivyo cku iz ukitoa zile koz za afya bac vyingine zote piga chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…