Wanaoenda kwenye Interview

Wanaoenda kwenye Interview

gracious86

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
437
Reaction score
55
Habari za alasiri wadau?

nichukue fursa hii kujitakia mimi mwenyewe na wengine woooote wanaotegemea kufanya interview ya NHIF post ya CFOO, pale TEC Kurasini!

Bwana wa majeshi aliye hai mfalme wa amani akatuongoze......

No retreat, no surrender.....!
 
Mungu akulinde akuongoze na kukubarika katka kila utakalokutana nalo ukalfanye lenye mafankio kwako. Kila la kher. Pamoja sana mi ntakuwepo pale jtano kwaajil ya ass. Account.
 
mungu atuongoze na atupiganie pia , mie ntakuwep j4 kweny claims officer , nafasi zinazotakiw n 35 tuloomba ni mor than 15 elf ,mungu atubalik
 
Ameeeen! nawe pia mkuu wangu! pamoja sana...
 
mungu atuongoze na atupiganie pia , mie ntakuwep j4 kweny claims officer , nafasi zinazotakiw n 35 tuloomba ni mor than 15 elf ,mungu atubalik

Amen mkuu! Mungu ni mwema! hakika tutashinda! all the best mkuu..Pamoja!
 
Amen mkuu. But ningeomba msaada, kwa yeyote anayefapahamu TEC kurasini anipe proper direction please (kutokea Mwenge). Natanguliza shukrani.
 
Utata ni kwenda afu uambiwe barua yako haikufika. au wanataka first class tuu maana wengine wanatoka Tandahimba
 
mungu atuongoze na atupiganie pia , mie ntakuwep j4 kweny claims officer , nafasi zinazotakiw n 35 tuloomba ni mor than 15 elf ,mungu atubalik

Salama. Claimd officer si j5 tar 27 saa tatu asubuhi!!?? Au ninapishana na gari la mshahara!!??
 
Amen mkuu. But ningeomba msaada, kwa yeyote anayefapahamu TEC kurasini anipe proper direction please (kutokea Mwenge). Natanguliza shukrani.

Tec ipo kurasini baada ya geti la TRH (TANZANIA ROAD HAULAGE) inshort ulizia jimbo/jengo la maaskofu!! Mimi nilienda leo kupajua na pia nina interview pale j5 tar 27!!
 
Tec ipo kurasini baada ya geti la TRH (TANZANIA ROAD HAULAGE) inshort ulizia jimbo/jengo la maaskofu!! Mimi nilienda leo kupajua na pia nina interview pale j5 tar 27!![ kiongo cjajua kama uko sahih j5 itakuwa tar 26 na saa tatu wanaanza wale ass. Accountant na baadaye by saa nane watafuata wa internal auditors. Hebu hakik tar vzur. Ucje zmia cku iyo. Ahsante nasilsha
 
Mimi binafsi nafanya interview ya claims officer iii ambayo ni tar 27 siku ya j5 saa tatu asubuhi!! Mpaka hapo!!??
 
Utata ni kwenda afu uambiwe barua yako haikufika. au wanataka first class tuu maana wengine wanatoka Tandahimba

dah Acha kuvunja moyo wenzako
hatawasipokuta majina yao watakuwa wameshangaa mataa na foleni
karibuni dar es salaam
 
Shukia kwenye taa za uhasibu njia pande ya kwenda mbagala au saba saba thn elekea bandari kule yanapoenda malori utaona jengo la trh basi jengo lifuatalo ndio tec!!
 
Back
Top Bottom